International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣 Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran...
28 Reactions
209 Replies
8K Views
Sio kwamba Trump amefanya haya kumtisha Putin moja kwa moja, haya ni maonyesho ya kimafumbo ya nguvu, ni sehemu ya mbinu za kuonesha ubabe katika ulimwengu wa siasa za kimataifa (geopolitics). 🙌🙌...
29 Reactions
173 Replies
10K Views
My Take Tanzania ni Kati ya Nchi zilizosaini makubaliano ya Entebe kuhusu matumizi ya maji ya blonde la mto Nile, makubaliano ambayo yanapingwa vikali na Egypt. Sasa tumejiandaa kiasi gani kuja...
7 Reactions
187 Replies
8K Views
Mamlaka ya Kuwait imetoa taarifa kushika watu 67, akiwemo raia wa Bangladesh anayesemekana kuongoza mtandao wa uhalifu, kutengeneza na kusambaza vinywaji vya pombe vya kienyeji vilivyosababisha...
1 Reactions
2 Replies
464 Views
Marekani inaendelea kuwa kituko katika dunia kwa kulazimika kufanya juhudi za haraka kumaliza vita ilivyovianzisha kwa tamaa ya kutanua utawala wake kupitia NATO. Juhudi za kumaliza vita kati ya...
2 Reactions
0 Replies
255 Views
Mpango wa Afrika wa Uandishi wa Habari na Vyombo vya Habari “Afromedia” umekosoa madai ya ukatili unaodaiwa kufanywa na Jeshi la Israeli dhidi ya waandishi wa habari na waandishi wa ripoti katika...
0 Reactions
5 Replies
698 Views
Habarini wadau. Wengi tunafahamu vita ya urusi na Ukraine isingedumu hata wiki Moja kama marekani na NATO wasingekuwa nyuma ya zelensky. Lakini tumeshuhudia mazungumzo kati ya Trump na zelensky ya...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema rais wa Ukraine anaweza kumaliza vita vya Urusi "ikiwa anataka" kufanya hivyo, lakini "Ukraine haitaweza kujiunga na NATO" kama sehemu ya makubaliano ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
BREAKING: Trump says that taking back Crimea and joining NATO are off the table for Ukraine
2 Reactions
2 Replies
692 Views
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wale wa Jumuiya ya kujihami NATO wametangaza siku ya Jumapili kuwa wataambatana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Washington kwa mazungumzo muhimu na Rais...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE ilitoa taarifa kwa lugha kali ikilaani kabisa matamshi ya Netanyahu kuhusu “Greater Israel” ambayo yaliwezekana yakimaanisha kueneza eneo la Israel kuzidi mipaka yake...
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Wale wanaochukua dalili kutoka kitabu kitakatifu na sunna zilizo sahihi tuna uhakika wa asilimia mia kuwa matukio ya Gaza na yale yanayosimamiwa na utawala wa Marekani mwishowe yataleta muujizi...
8 Reactions
17 Replies
912 Views
Katika kile kinachoonesha ubabe wa Marekani. Na kauli za kibabe kujibiwa na aliyewahi kuwa Rais wa Urusi miaka ya nyuma. Trump ameziweka mguu sawa Nyambizi zake zenye nguvu ya Kinyuklia akisubiri...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Updates: Raisi Donald Trump amewasili Achorage muda huu. Ndege ilomleta raisi Putin nayo imetua mahali hapo. Viongozi hao watakutana kwenye ndege ya raisi Trump kabla ya kuanza mkutano rasmi...
4 Reactions
65 Replies
5K Views
Houthi wapata kichapo cha mbwa-koko huko Yemen. === The IDF struck an energy infrastructure site that was used by the Houthis in Yemen, the military confirmed on Sunday morning. According to...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa...
0 Reactions
7 Replies
804 Views
Maelfu ya raia wa Korea Kaskazini wanaripotiwa kupelekwa Urusi kufanya kazi katika mazingira ya utumwa, ili kujaza pengo kubwa la ajira lililosababishwa na vita vinavyoendelea nchini Ukraine...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Kiongozi wa EFF Julius Malema ameitaka serikali kuharamisha ukahaba. Akizungumza na wafuasi wa chama katika maandamano ya Siku ya Wanawake huko Mpumalanga, Malema alisema wafanyabiashara ya ngono...
4 Reactions
75 Replies
2K Views
Back
Top Bottom