Tunaendelea kujuzana yanayoendelea kwenye ulimwengu wa kibabe, trh 15 april 2017 itakuwa siku ya jua au ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la N. Korea, kama kawaida yao huwa wanafanya mazoezi ya...
Shirika la kudhibiti usalama barabarani nchini Nigeria, limemuadhibu kamanda wake mmoja mkuu, baada ya kupigwa picha ya video akiwaadhibu wafanyikazi wa kike kwa kuwakata nywele zao ndefu.
Picha...
President Trump said he is taking action after North Korea’s President Kim Jong-un threatened to nuke U.S. war ships.
“We are sending an armada, very powerful. We have submarines, very powerful...
Serikali ya Urusi Leo imesema kwamba haitathubutu kutungua kombora lolote lile la Marekani kuelekea Syria bali kazi hyo wataacha ifanywe na Syria yenyewe.
Mkuu wa baraza la ulinzi na usalama...
Naangalia CNN muda huu, Asad anafanya interviw na kusema kuwa tukio la mashambulizi ya sumu ni la uongo, Russia nayo yasema vielelezo vilivyokusanywa na USA ni fake, mtifuoano ni mkubwa
Human rights groups have condemned the 10-year jail term given to an Egyptian lawyer for criticising the government.
Amnesty International called the conviction of Mohamed Ramadan over online...
Mwanamke mmoja katika jimbo la Ohio nchini Marekani ameshtakiwa kwa kum'baka dereva mmoja wa teksi kwa kutumia kisu kabla ya yeye na mwanamume mwengine kumuibia kulingana na maafisa wa polisi...
Mojawapo ya jamii wa awali wa dinosaria alikuwa na maumbile yanayofananishwa na mamba, matokeo ya utafiti Tanzania yanaonyesha.
Wataalam wa masuala ya uhifadhi wa mabaki ya wanyama wamekuwa...
Beijing imeonya marekani kuwa ni hatari zaidi marekani kuivamia Korea Kaskazini. Na pia marekani haina Uwezo wa kutatua matatizo ya dunia peke yake.
Maana kama wakishindwa kujibu huko US mshirika...
kutokana na kipinga mizi kingi kwa urusi. japo vyombo vya habari viki tangaza kuwa urusi ina weka vikwazo katika mkutano umoja wa usalama ulaya.hii inatokana zumuni USA kutimiza malengo yake kama...
Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kukitokea na vita hapana nchi itakayosalia bila kuathirika na hii vita na kwa madhara makubwa kiasi kisichotamkika.. Hivyo basi kwa wale wanaopenda...
Polisi nchini Ujerumani imesema kuwa gari lililokuwa limewabeba wachezaji wa Borussia Dortmund kuelekea katika mchezo wa nyumbani kwenye ligi ya mabingwa Ulaya lililengwa na milipuko mitatu...
Dar es Salaam Regional Commissioner Said Meck Sadick addresses journalists at the police station Stakishari yesterday after armed gangsters attacked it the previous night, killing seven people...
Mwanamume wa kihindi alikamatwa kwa madai ya unyanyasaji na udanganyifu katika ndoa baada ya kumpa talaka mke wake kwa kumtumia ujumbe kwenye kadi ya posta.
Mohammed Haneef alituma kadi hiyo wiki...
Mbwa wanachukuliwa kama kitoweo nchini Korea Kusini. Biashara ya nyama ya mbwa inajumuisha mbwa milioni 1, migahawa 6000 na asilimia 10 ya wakazi wanatumia kitoweo hicho.
Chinese President Xi Jinping (C) shows the way to the guests of the Asian Infrastructure Investment Bank at the Great Hall of the People in Beijing on October 24, 2014
China and India are...