Jana wamefanywa nini tenaDems waliwekak high hopes kwa yule bibi
walichofanywa siku ile na walchofanywa jana ndicho watakachofanywa 2018 na 2020
Kimsingi wamefanywa kinyume na matarajio yao. Kulikuwa na majimbo matano yalikuwa na chaguzi; yote yamezolewa na Reps.Jana wamefanywa nini tena
Jamaa limewageuzia kibao! Kimsingi hii hoja ya Russia kudukua uchaguzi wa US anayetakiwa kujibu ni Obama na utawala wake. How comes wanamtupia mpira mtu ambaye hakuwa mamlaka yoyote? Dems wajinga sana.![]()
,,By the way if Russia was working so hard, on 2016 elections, it all took place during Obama's Admn. Why didn't they stop them? " - Trump!
Duh , safi sanaKimsingi wamefanywa kinyume na matarajio yao. Kulikuwa na majimbo matano yalikuwa na chaguzi; yote yamezolewa na Reps.