Wanajukwaa hii nimeitoa kwenye jukwaa moja la Nigeria => miss nigeria writes open letter donald trump. Nami nkaona sio mbaya ku share nanyi:
Ni kusiana na USA kujitoa kwenye Paris Climate...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema Serikali imempa masaa 48 Balozi wa Qatar awe ameondoka nchini humo baada ya Misri kuwa nchi moja wapo iliyotangaza kuvunja mahusiano ya Kidiplomasia na...
HERAT, AFGHANISTAN: Watu 10 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea kwa mlipuko karibu na ofisi za Polisi na Msikiti.
Bomu hilo limesababisha tarahuki kubwa na zanasemauwa kuna...
Kampuni inayojihusisha na biashara ya Dhahabu huko Uganda Africa Gold Refinery ya Ubelgiji inayofanya biashara ya kununua Dhahabu Uganda inadaiwa kulipa kodi ndogo sana kwa serikali ya Uganda kwa...
Slovakia: Maelfu waandamana katika mitaa mbali mbali wakishinikiza Waziri wa Mambo ya Ndani, Mkuu wa Jeshi la Polisi pamoja na Mwendesha Mashtaka wajiuzulu kwa kushindwa kukomesha rushwa nchini...
The Australian authorities are treating an abduction and a killing here in Melbourne on Monday, which ended with the gunman dead, as a terrorist attack.
The police killed the gunman after he held...
we have an exclusive database of Tanzanian business, from Public and Private sectors.
we can provide you with list of following database:
1. Hospitals and heath centers.
2. Medical Training...
How world profits from Africa’s wealth
By NJIRAINI MUCHIRA
Posted Monday, June 5 2017 at 11:22 [The East African]
Africa, despite being hailed as the new frontier of global economic growth, is...
Jamii ya mashoga na wasagaji imekasirishwa na kitendo cha raisi Donald Trump kusitishwa kwa kuadhimisha sherehe yao ikulu!
Trump administration cancels Pride Month traditions
The LGBT community...
BAREILLY, INDIA: Watu 22 wamefariki na wengine 15 wajeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na Lori kisha kulipuka.
=======
BAREILLY: 22 people were charred to death and another...
Polisi nchini Uingereza wamekuwa wakifanya msako kwenye makazi manne mjini London hadi usiku wa manane kama sehemu ya uchunguzi juu ya shambulio la Jumamosi ambapo watu saba waliuawa na wengine...
Dubai: Etihad Airways said on Monday it will suspend all flights to and from Doha starting June 6 and until further notice after the UAE announced it is severing diplomatic ties with Qatar.
In a...
Rais wa Togo, Faure Gnassingbe apata Uenyekiti wa Umoja wa Kibiashara wa Mataifa ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) huko Monrovia, Liberia.
Anachukua wadhifa huo kutoka kwa Rais wa Liberia, Ellen...
Chama kikuu cha upinzani cha Afrika Kusini, Democratic Alliance, kimesimamisha uanachama wa kiongozi wake wa zamani, Helen Zille, kwa sababu ya tweet aliyoandika, ambapo alisema, siyo ukoloni wote...
Mataifa makubwa hapa duniani mfano G7 hua na mifumo ya kimaslahi ya muda mrefu ili kujipatia utajiri wa kiuchumi, nguvu ya kisiasa na Kijeshi mfano usikute D.Trump na rais wa N Korea...