Watu saba na wengine kujeruhiwa kwenye shambulio la kigaidi leo jiji la London Uingereza

Nachingwea

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
262
225
Watu saba na wengine kujeruhiwa kwenye shambulio la kigaidi leo jiji la London Uingereza!
Sala zenu xinahitajika
 

famicho

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,897
2,000
Mkuu unakimbilia wapi kwani, au funga imekuendesha mbio? Tulia uandike ueleweke, mfano hebu soma hiyo title yako kwanza,je umeeleweka?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom