Rais Faure Gnassingbe wa Togo ndiye Mwenyekiti mpya wa ECOWAS

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
771
1,000
Rais wa Togo, Faure Gnassingbe apata Uenyekiti wa Umoja wa Kibiashara wa Mataifa ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) huko Monrovia, Liberia.

Anachukua wadhifa huo kutoka kwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf aliyepata wakati mgumu katika kipindi chake cha miezi 12.

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu alihudhuria mkutano huo na kumpongeza Mwenyekiti huyo huku akiwaalika Viongozi wa nchi za Afrika ya Magharibi kwenye mkutano wa Afrika na Israel(Africa-Israel) utakaofanyika Mwezi Oktoba nchini Togo.

========
Togolese President Faure Gnassingbe has been named the new chairperson of the Economic Community of West African States (ECOWAS) in Liberia’s capital Monrovia.

He takes over the rotational role from Liberian President Ellen Johnson Sirleaf who faced a tough task in her 12-month tenure.

This was announced at the 51st ECOWAS Summit of Heads of State held for the first time in Liberia on Sunday, June 4, 2017.

In attendance was the Prime Minister of Israel Benjamin Netanyahu who congratulated the incoming chairperson and invited the West African leaders to the Africa-Israel summit to be held in Togo in October.

Faure Gnassingbe will face a less tedious task as chairperson compared to President Sirleaf who was faced with the electoral crisis in The Gambia.

President Gnassingbe will officially assume the role at the end of the Summit.

Source: Africanews
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom