Hatua ya Qatar na athari zake katika ghuba ya uajemi

Mgawanyiko kati ya nchi ya Qatar na nchi kadhaa za jirani huenda ukasababisha kuongezeka kukatizwa kwa safari za anga.
Saudi Arabia, Bahrain na Misri wamethibitisha kwamba nao watasitisha safari za anga kuelekea Qatar kuanzia leo.Mashirika makubwa ya anga ya kikanda, ikiwemo Emirates na Etihad, ni miongoni mwa mashirika yatakayo sitisha safari za anga nchini humo.
Qatar imekanusha madai kwamba inasaidia watu wenye msimamo mkali na kuyaita madai hayo kama upotoshaji kamili.
Serikali ya nchi hiyo imesema kwamba mzozo huo hautaathiri chochote katika utaratibu wa maisha , ingawa kuna taarifa za wananchi kuanza kuhifadhi chakula kama dharula tangu mzozo huo ulipoibuka siku ya Jumatatu wiki hii.
Madhara yatakayoletwa na kuitenga Qatar
Mzozo wa safari za anga wakolea Qatar
Janet Jackson, 50, ajifungua mtoto wa kiume
Nchi ya Saudi Arabia tayari imekwisha tangaza kufungwa kwa mpaka pekee wa aridhini na Qatar
Wakati wa kuchukua hatuahiyo ndege za Saudia na Qatar zitahitaji kuchukua safari ndefu.
Lakini waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Qatar Sheikh Mohammed Bin Abdulrahman al-Thani, alikimbia kituo cha Al Jazeera kuwa ndege zake zinatumia njia za kimataifa za baharini kwa safari za kimataifa.
Afisa mmoja ambaye hakutajwa nchini Somalia aliliambia shirika la AP kuwa takriban ndege 15 za Qatar zimetumia anga ya Somalia siku ya Jumatatu zaidi ya safari za kawaida za kila siku.
janeth Jackson kaingiaje hapo hahahhahaah c alishaondoka
 
Ngoja watifuane maana walinikera sana pale walipo side na US/NATO kwenda kuidhohofisha Syria uku wote Saud na Qatar wakiyafadhiri makundi ya Kigaidi uko Syria na Mara kwa Mara wakisema [HASHTAG]#Assad[/HASHTAG] must Go.......[HASHTAG]#Assad[/HASHTAG] has No future in Syria sasa Mungu Mkubwa Syria ndo kwanza inazid kuimarika na Assad ndo kwanza anazidi kichukua maeneo zaid hadi uzalendo ukamshinda US ikabid aingie moja kwa moja kuyasaidia makundi yao......But Qatar wanaakili kidogo kuliko awa Wasaud
 
Ila hili bifu balaa, yaani ndege za Qatar marufuku kuruka anga la Egypty ,Dubai na wenzake. Sasa Egypty wameenda mbali zaidi na kuwataka wamisri wote walioko Qatar warudi Misri. Ngoma inogile warabu wananuniana wao kwa wao. Suni vs Shia.
 
Mshia wewe mtakufa hovyo
 
kazi ipo...tutegemee kikundi kingine cha kigaidi kuibuka kwani vita hii haitaiacha Qatar na Saudia salama
 
Ngoja watifuane maana walinikera sana pale walipo side na US/NATO kwenda kuidhohofisha Syria uku wote Saud na Qatar wakiyafadhiri makundi ya Kigaidi uko Syria na Mara kwa Mara wakisema [HASHTAG]#Assad[/HASHTAG] must Go.......[HASHTAG]#Assad[/HASHTAG] has No future in Syria sasa Mungu Mkubwa Syria ndo kwanza inazid kuimarika na Assad ndo kwanza anazidi kichukua maeneo zaid hadi uzalendo ukamshinda US ikabid aingie moja kwa moja kuyasaidia makundi yao......But Qatar wanaakili kidogo kuliko awa Wasaud
Ivi nini maana ya HASHTAG mkuu, leo nimeona nifunguke tu. Hope utanisaidia.
 
Ila hili bifu balaa, yaani ndege za Qatar marufuku kuruka anga la Egypty ,Dubai na wenzake. Sasa Egypty wameenda mbali zaidi na kuwataka wamisri wote walioko Qatar warudi Misri. Ngoma inogile warabu wananuniana wao kwa wao. Suni vs Shia.

Qatar tayari amenyanganywa Leseni ya kurusha ndege Saudi Arabia

Ufilipino nayo inapunguza wafanyakazi Qatar

Donald Trump awapongeza Saudi on crack down on terrorism

Ufilipino kapewa silaha na Marekani jana
 
Back
Top Bottom