Misri yampa masaa 48 Balozi wa Qatar awe amefungasha virago na kuondoka nchini humo

miss zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,764
2,000
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema Serikali imempa masaa 48 Balozi wa Qatar awe ameondoka nchini humo baada ya Misri kuwa nchi moja wapo iliyotangaza kuvunja mahusiano ya Kidiplomasia na Qatar.

Pia Bahrai, Saudi Arabia na Libya zimetangaza hatua hiyo kwa madai kuwa Qatar imekuwa ikitoa ufadhiri na kuwaunga mkono Waasi wa ISIS na Ala Qaeda.

======
The Egyptian Foreign Ministry said Monday it had given Qatar's ambassador 48 hours to leave the Arab republic following a diplomatic rift that saw Cairo sever diplomatic relations with Doha alongside six other Gulf and Arab states.

CAIRO (Sputnik) — On June 5, Bahrain, Saudi Arabia, Egypt and the United Arab Emirates severed diplomatic relations with Qatar.

The states accused Qatar of supporting terrorist groups, particularly the Muslim Brotherhood terrorist movement, as well as of interfering in other countries' domestic affairs. Libya made a similar decision. Yemen cut diplomatic relations citing Doha's links with Houthis. The Maldives took the same step, citing extremism and terrorism concerns.

"The Qatari ambassador was summoned to the Foreign Ministry, where he was notified of the decision to sever diplomatic relations, handed an official note on the completion of his accreditation as the ambassador to Egypt.

He was given 48 hours to leave the country," the Egyptian ministry said in a statement.

The ministry added that Egypt's charge d'affaires in Doha was also ordered to return to Cairo within 48 hours.

Source: Sputnik
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,706
2,000
Hao Ndiyo Waarabu usa akiona qatar kadhoofika na hata kupelekea machafuko atamtafuta mwingine na yeye aundiwe zengwe tu anataka ahakikishe mashariki ya kati haitulii kabisa na kwa kuwa akili za waarabu hazina tofauti na sisi waafrika marekani anawapelekesha tu
 
neo1

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
574
1,000
Kwa mujibu was hiyo post halo juu baadhi ya nchi wanaishutumu Qatar kufadhili vikundi vya kigaidi ikiwemo Muslim Brotherhood cha Egypt.
okey ahsante.
imekuaje zote wamejua ghafla na uamuzi umefanywa ghafla.

Qatar wanapata nini kwa kufadhili hivyo vikundi vya kigaidi??
me mpaka sasa sijapata logic unless kuna kitu bado sijakielewa.

au nan yupo nyuma ya Qatar??

kwa nini haya maamuzi yanahusishwa na safari ya Trumph middle east hapa kazi.
 
thatonegAl

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
827

Hapa naona Qatar alikua anatafutiwa sababu na hao Arab League...... Na nyuma ya hili kuna mkono wa U. S. A
Ziara ya POTUS Saudi Arabia siku chache zilizopita na mazungumzo ya POTUS na Al SIS
 
Metsada

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,459
2,000
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema Serikali imempa masaa 48 Balozi wa Qatar awe ameondoka nchini humo baada ya Misri kuwa nchi moja wapo iliyotangaza kuvunja mahusiano ya Kidiplomasia na Qatar.

Pia Bahrai, Saudi Arabia na Libya zimetangaza hatua hiyo kwa madai kuwa Qatar imekuwa ikitoa ufadhiri na kuwaunga mkono Waasi wa ISIS na Ala Qaeda.

======
The Egyptian Foreign Ministry said Monday it had given Qatar's ambassador 48 hours to leave the Arab republic following a diplomatic rift that saw Cairo sever diplomatic relations with Doha alongside six other Gulf and Arab states.

CAIRO (Sputnik) — On June 5, Bahrain, Saudi Arabia, Egypt and the United Arab Emirates severed diplomatic relations with Qatar.

The states accused Qatar of supporting terrorist groups, particularly the Muslim Brotherhood terrorist movement, as well as of interfering in other countries' domestic affairs. Libya made a similar decision. Yemen cut diplomatic relations citing Doha's links with Houthis. The Maldives took the same step, citing extremism and terrorism concerns.

"The Qatari ambassador was summoned to the Foreign Ministry, where he was notified of the decision to sever diplomatic relations, handed an official note on the completion of his accreditation as the ambassador to Egypt.

He was given 48 hours to leave the country," the Egyptian ministry said in a statement.

The ministry added that Egypt's charge d'affaires in Doha was also ordered to return to Cairo within 48 hours.

Source: Sputnik
SAWA
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
18,641
2,000
Hapa naona Qatar alikua anatafutiwa sababu na hao Arab League...... Na nyuma ya hili kuna mkono wa U. S. A
Ziara ya POTUS Saudi Arabia siku chache zilizopita na mazungumzo ya POTUS na Al SIS
Imepigwa fitna hapa.wajuvi wa mambo washang'amua hapa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom