Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Kampuni inayojihusisha na biashara ya Dhahabu huko Uganda Africa Gold Refinery ya Ubelgiji inayofanya biashara ya kununua Dhahabu Uganda inadaiwa kulipa kodi ndogo sana kwa serikali ya Uganda kwa Dhahabu wanazonunua toka nchini humo. Inadaiwa kampuni hiyo hivi karibuni ilisafirisha dhahabu yenye thamani ya dola milioni 200 lakini serikali ya nchi hiyo iliambulia kodi ya dola laki tano tu.
Kampuni hii ina mahusiano ya karibu na Rais Museveni. Dhahabu nyingi zinazouzwa nchini Uganda zinatoka Jamhuri ya Kongo na Sudan Kusini.
sources: Global Witness.
Kampuni hii ina mahusiano ya karibu na Rais Museveni. Dhahabu nyingi zinazouzwa nchini Uganda zinatoka Jamhuri ya Kongo na Sudan Kusini.
sources: Global Witness.