Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,326
- 7,788
Nimekuwa nikiwaambia Wafuga Midevu na Majini kila wakati kuwa Majeshi ya Israel ni miamba isiyotikisika huko Mashariki ya Kati mpaka huko kwa wa aje I!!
Pichani hapo ni Damascus Syria hebu waangalie askari wa Syria wanavyozimenya mbio kukimbia baada ya ndege-vita za Israel kute Bełda jiji hilo asubuhi ya leo.
Kuna mtu ana pikipiki badala ya kuiwasha akimbie nayo yeye kaamua akimbie kwa mguu ama kweli Israel ni kiboko!!