Naomba kuijua nchi ya zimbabwe

Naomba kuijua nchi ya zimbabwe

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Nasikia ni nchi unaenda nunua kilo ya mchele na rumbesa
Nasikia ina wasomi zaidi duniani
Nasikia ina uchumi mbaya mno
Naomba kuijua Zimbabwe ya Mzee Mugabe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uchumi wao umezorota ndio maana watu wababeba mapesa mengi
 
Back
Top Bottom