Diplomasia ya Kimataifa

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
880
937
Diplomasia ya kimataifa ina mambo mengi sana. Inajumuisha namna ya uvaaji wa viongozi, speech, muonekano na hata kusalimiana. Ktk kusalimiana kuna namna yake, JPM jana ktk mkutano ameonyesha yenye ndiye mwenye mamlaka.


Tai nyekundu huashiria wewe ndiye mwenye mamlaka na ktk kusalimiana kiganja chako lazima kiwe juu. Obama alipokuja Tz, alivaa Tai nyekundu na JK alivaa ya bkue kuashiria kuwa ni kiongoz mkubwa kutoka ktk taifa kubwa lenye mamlaka. Jana JPM alivaa tai nyekundu.


Kina Museven, Kenyatta, etc walikubali kuweka viganja vyao chini ya JPM kuashiria kuwa ndiye mwenye mamlaka. Obaman na Putin walishindwa kusalimiana kwa dk 5 wakitazamana tu kwan kila 1 alijion n mkubwa hadi walipopeana mikono kwa uwiano sawa.


Diplomasia ya kimataifa ina mambo mengi sana, nimetoa machache ninayoyafahamu.
 
Back
Top Bottom