Guangzhou, China: Watu Saba wafariki na wawili kujeruhiwa baada ya 'crane' kuanguka

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Mamlaka zinasema kuwa watu 7 wamefariki na wawili kujeruhiwa baada ya crane(winchi) kuanguka katika eneo la ujenzi huko Jijini Guangzhou.

Crane hiyo ilianguka jioni siku ya Jumamosi katika eneo la ujenzi unaosimamiwa na Kampuni ya Serikali iitwayo China Communications Construction Co. Ltd na bado wapelelezi wanaangalia ni vipi tukio hilo lilitokea.

=======

BEIJING – Authorities say seven people have been killed and two more injured when a crane leaned and collapsed on a construction site in the southern Chinese city of Guangzhou.

The crane collapsed late Saturday at the construction site for the southern headquarters of the state-owned China Communications Construction Co. Ltd., which builds infrastructure and provides urban development. The city’s Haizhu district says investigators are looking into how it happened.

The company could not be reached for comment Sunday.

Work safety is a major concern in China where safety regulations are often ignored.

The district says the two injured are in stable condition.

Source: Globalnews.ca
 
Kwa mchina hiyo ni kawaida mno; maafa yatokanayo na ajali kama hizo ni ya kawaida wala sio habari. Kama huko migodini kila siku wanazikwa wakiwa hai wengine kulipuliwa na mabaruti wala hakuna anayejali. Akeshia akiondoka kuna uwezekano jamaa aka-take over.
 
Back
Top Bottom