International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mkutano wa kumaliza kipindupindu ifikapo 2030 wafanyika nchini Ufaransa na kuwashirikisha wadau mbalimbali wa afya kutoka sehemu mbalimbali duniani ambapo moja ya lengo la mkutano huo ni kutafuta...
0 Reactions
2 Replies
683 Views
The gunman who police said sprayed bullets into a crowd of people at a country music festival in Las Vegas was an avid gambler who lived in an upscale retirement community about 80 miles outside...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
KULA NIKULE: Wananchi wa kijiji kimoja huko Indonesia, wamemgawana na kumla chatu mmoja aliyejaribu kumla mlinzi wa shamba la minazi. Awali mlinzi huyo alizidiwa nguvu na chatu huyo katika...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Tarehe 04-oct ni siku ya kusainiwa mkataba wa amani nchini msumbiji kutkana na kusimamishwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Renamo na Frelimo chama kinachotawala nchi hiyo. Ndani ya siku hiyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkosoaji mkubwa wa rais wa Rwanda Paul Kagame, Diane Rwigara ameshtakiwa kwa kuchochea uasi dhidi ya serikali. Ameshtakiwa pamoja na mama yake Adeline Rwigara na dada yake Anne Rwigara. Diane...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Rais Donald Trump amesema kuwa muuaji wa watu 59 mjini Las Vegas alikuwa ni mtu mwenye matatizo ya akili
1 Reactions
52 Replies
5K Views
North Korea ni nchi inayochafuliwa sana na propaganda za Marekani kupitia media zao. Ila ki ukweli yapo mambo mazuri sana huko NK ambayo hayapatikani katika nchi nyingi hapa duniani .Yafuatayo ni...
11 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa akali raia 45 wameuawa katika shambulizi la anga la hivi punde lililotekelezwa na ndege za kivita za Marekani nchini Syria. Kwa mujibu wa kanali ya Press TV ya Iran, raia hao waliuawa hapo...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana jamii, Kwa yeyote Mwenye taarifa zaidi walizochukulia wauguzi hawa wenye asili ya Bulgaria baada ya kuukumiwa Adhabu ya kifo na mahakama nchini Libya kwa kosa la kupandikiza virusi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tume ya Mawasiliano nchini Uganda (UCC) imepiga maarufu kwa vyombo vya habari nchini humo kufanya 'Interview' na Mwanamuziki Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine baada ya kuonekana kinara kwenye...
5 Reactions
33 Replies
7K Views
Mahakama imemhukumu kifungo cha siku 20 jela mwanasiasa wa Upinzani Alexei Navalny ambaye ametangaza kugombea dhidi ya Rais Putin katika Uchaguzi Mkuu mwakani. Alikamatwa siku ya ijumaa kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Harahe, Zimbabwe. Mbunge mmoja amesema kwamba zaidi ya asilimia 70 ya wabunge wa Zimbabwe wanaishi na virusi vya ukimwi na wanatumia dawa za kufubaza makali ya virusi hivyo (ARV). Madai hayo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama ulivyokuwa upepo mkali wa mabadiliko ulioanzia Tunisia na kusambaa Asia na Ulaya,sasa upo upepo mkali wa kujitenga. Upepo wa mabadiliko uliotokomezwa Syria,uling'oa viongozi waliokuwa...
10 Reactions
104 Replies
10K Views
Haki Mwandishi mmoja ambaye huchapisha makala yake kwenye mitandao ya kijamii ametozwa faini ya dola elfu 410 kwa kuwapotosha wafuasi wake. Belle Gibson, mwenye umri wa miaka 25 alipata umaarufu...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Aliyekuwa Rais wa Iraqi na kiongozi mkuu wa Wakurdi, Jalal Talabani, amefariki. Talabani ameaga dunia huko Ujerumani, akiwa na umri wa miaka 83. Aliingia kwa mara ya kwanza katika siasa za...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Uongozi wa Jimbo la Catalan wasema kuwa watu Takribani Milioni 2.26 walishiriki kupiga kura ya maoni ili kuamua iwapo Jimbo hilo lijitenge kutoka katika Utawala wa Hispania. Viongozi hao wamesema...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Kupitia tweets zake Rais wa marekani Donald Trump amerudia rudia mara kadhaa kuwa ataikamilisha kazi iliyowashinda watangulizi wake kina Clinton, Bush na Obama.
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Wapalestina Rami Hamdallah amesema yupo tayari kuchukua usukani kuyasuluhisha masuala ambayo hayajashughulikiwa katika Gaza na yanayohusu makaazi ya Ukingo wa Magharibi Waziri...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Back
Top Bottom