Trump aapa kummaliza Kim Jong Un

Trump aapa kummaliza Kim Jong Un

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371
Kupitia tweets zake Rais wa marekani Donald Trump amerudia rudia mara kadhaa kuwa ataikamilisha kazi iliyowashinda watangulizi wake kina Clinton, Bush na Obama.
Screenshot_20171002-075025.png
 
Ni kweli atamumaliza anachukua tu picha ya Kim anaishambulia kwa risasi kwisha kazi ila kwa uhalisia hawezi yeye abweke tu wababe wenzie walichagua wa kuwapiga wakaiacha N korea mpaka leo hii ipo mambo ni mpera mpera
 
Ni kweli atamumaliza anachukua tu picha ya Kim anaishambulia kwa risasi kwisha kazi ila kwa uhalisia hawezi yeye abweke tu wababe wenzie walichagua wa kuwapiga wakaiacha N korea mpaka leo hii ipo mambo ni mpera mpera
Huyo ni chizi mkuu, anatakiwa apimwe akili, kwanza hajafikia ata robo ya bush, aache dharau kwa waliomtangulia kazi yake kubweka raisi wetu alishasema.
 
"You know he has been in charge for Six Years right"
 
Labda atammaliza akitoka madarakani maana siku zinazidi kupungua za uongozi wake.
 
Hii vita haipiganwi kamwe, kama angekua ni muarabu basi angepigwa na waarabu wenzake kwa jinsi wadivyo na akili
 
Labda atatengeneza sanamu ya KJU na kuanza kuimiminia risasi hadi sanamu hiyo inapochakaa kabisa. Hapo ndipo atakuwa amemshinda Kim.
 
Hata mimi namkubali KIM kwa 99%.
Kim kashikilia ofisi ya Wigiman mpaka mwisho.
 
trump mikwara mingi, anashindwa kiacha kubweka tuu, jong un yupo tayari ameshasema na ameweka bayana lazima akamilishe alilolipanga
 
bangi ikizidi kichwani mtu anabwata tu - hata mwawaziri wake wa mambo ya nje na ulinzi wameamua kumchukulia kama mbumbumbu
 
Back
Top Bottom