Aliyekuwa rais wa Iraq aaga dunia

Aliyekuwa rais wa Iraq aaga dunia

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Aliyekuwa Rais wa Iraqi na kiongozi mkuu wa Wakurdi, Jalal Talabani, amefariki. Talabani ameaga dunia huko Ujerumani, akiwa na umri wa miaka 83.

Aliingia kwa mara ya kwanza katika siasa za Wakurdi akiwa kijana mdogo na akapanda ngazi hadi kufikia ngazi ya juu kwenye uongozi wa kundi la Wakurdi pamoja na kiongozi nchini Iraq kupitia hatua ya ugawanaji mamlaka, baada ya kupinduliwa kwa hayati Rais Saddam Hussein.

Kama Rais, Bwana Talabani aliamua kutumika kama muunganishi mkuu, kwa Wairaqi wote, na pia kujaribu kurejesha uhusiano mzuri na mataifa jirani.

Aliunga mkono juhudi za Marekani kuivamia Iraq.


BBC
 
Huyu jamaa alianza harakati zamani sana.
Ni non arab pekee kushika wadhifa wa Uraisi Iraq.

Ila nimekumbuka 1988 wakurdi walipo mwagiwa sumu masikini waliangamizwa sana.
Mungu awarehemu wote
 
WireAP_fa195240e45348289ca55eb82c15b402_16x9_992.jpg

Iraqi ex-president and Kurdish leader Jalal Talabani dies at 83

Talabani is the founder and had been secretary general of one of the main Kurdish political parties, the Patriotic Union of Kurdistan (PUK). Apart from his native Kurdish, Talabani was fluent in Arabic, Persian, and English.
 
He lived not to see what he fought for, the Kurdish free state.
 
Huyu jamaa alianza harakati zamani sana.
Ni non arab pekee kushika wadhifa wa Uraisi Iraq.

Ila nimekumbuka 1988 wakurdi walipo mwagiwa sumu masikini waliangamizwa sana.
Mungu awarehemu wote
Rais wa sasa, Fuad Masum sio mwarabu, ni Mkurdi!
 
Amefariki bila kula matunda aliyoyapigania ya Kurdi kuwa huru kama Nchi kamili.
 
Back
Top Bottom