International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya jamhuri ya watu wa China imeamua kufunga biashara zote za akampuni ya Korea kaskazini,zoezi hilo litaanza kutekelezwa mnamo mwezi januari mwakani,hii ni kutekeleza azimio la umoja wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Raia wa Jimbo la Catalan mapema leo walijitokeza kupiga kura ya maoni itakayoamua iwapo Jimbo hilo lijitoe kutoka himaya ya Hispania. Hata hivyo mamlaka ya utawala wa Hispania ilisema kuwa kura...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dubai imefanya jaribio la teksi ya kwanza ya ndege isio na rubani ambayo wanatumaini itatumika kama chombo cha uchukuzi mijini. Ndege hiyo isio na rubani yenye nafasi ya watu wawili iliruka kwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu 17 wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine 48 wakiwa wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya lori kusini mwa Zambia. Ajali hiyo imetokea baada ya lori kupinduka. Kwa mujibu wa habari,dereva...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Marekani na China kuijadili Korea Kaskazini Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko mjini Beijing kufanya mazungumzo na viongozi wa China. Ajenda kuu katika mkutano huo ni mzozo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa kifupi alichosem bwana Donald Trump ni kuwa Afrika tumeshindwa kujitawala na tunapaswa kutawaliwa tena kwa miaka mingine 100. Bwana Trump,anaewania kuteuliwa kuwa mgombea wa uraisi wa...
1 Reactions
88 Replies
11K Views
Mwanamme mmoja nchini Afrika Kusini aliyetambulika kwa jina la Ntando Mankungwini ametupwa jela mwaka mmoja baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Punda. Ntando (23) alikutwa usiku wa Jumatano ya...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Mateso yasiyokuwa na mfano wanayopitia Warohingya Dhambi kuu ni pale watu wema wanapokaa kimya juu ya madhila yanayotokea. Kwanini Jumuiya ya Kimataifa isisimame na Rohingya? Hivi kwanini iwe...
10 Reactions
83 Replies
13K Views
NEW YORK, MAREKANI MMOJA wa vijana wa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ambaye ni miongoni mwa watu 70 waliokuwamo kwenye msafara wa kikazi wa rais huyo nchini Marekani ametumia muda wake kufanya...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Kituo CCIB FM+ cha radio nchini Burundi kimefungiwa kwa muda baada ya kukosoa serikali kufuatia mauaji ya warundi wakimbizi nchini Jamuhuri ya demokrasia ya Congo. CCIB FM+, cha nchini Burundi...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Zaidi ya wananchi million 5 wa korea kaskazini wamejiunga na Jeshi la nchi hiyo kutokana na kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuitishia kuiangamiza korea ya kaskazini katika mkutano viongoz...
8 Reactions
86 Replies
8K Views
Katika pitapita zangu internet nimekutana na hii habari watu kuuawa huko rhohingya na kupelekea kukimbia makazi yao kuelekea bangladesh huku lawama zikitupwa kwa serikari ya myanamar na UN...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Luanda. Swaziland’s King Mswati III has married his 14th wife, the media confirmed. According to the Maravi Post newspaper, the King’s latest wife is SipheleleMashwama, 19, the daughter of...
3 Reactions
100 Replies
24K Views
Waziri wa afya nchini Marekani, Tom Price amejiuzulu baada ya kukodi ndege binasfi ikiwa ni kwa ajili ya shughuli za kiserikali. Waziri Price aliomba radhi kwa kufanya safari akitumia ndege za...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Being called a 'good man' by Trump is sometimes an omen By JILL COLVIN,Associated Press Sep 30, 2017 BRANCHBURG, N.J. (AP) — Sometimes it's better not to be a nice guy. President Donald Trump...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Mtandao wa kijamii wa Twitter, umebaini kuwa kulikuwa na matangazo 2,000 yaliyotumiwa na vyombo vya Habari nchini Urusi kujaribu kuingilia Uchaguzi wa Marekani mwaka uliopita. Taarifa kutoka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkanyagano umetokea baina ya watu waliokuwa wamejificha kwenye daraja la reli ya Mumbai Mvua kubwa ilikuwa imenyesha na watu wakajificha kwenye daraja hilo, na baada ya mvua kukata ndipo watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kituo CCIB FM+, cha radio nchini Burundi kimefungiwa kwa muda baada ya kukosoa Serikali kufuatia mauaji ya warundi wakimbizi nchini Jamuhuri ya demokrasia ya kongo. CCIB FM+, cha nchini Burundi...
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Mwarabu kasema majaribio kama hayo yataendelea na yataendelea tu. Kasema hakuna MTU wa kumpangia silaha gani awe nayo na silaha gani asiwe nayo! Huku KIDUKU anajambisha. Huku Iran anajambisha...
13 Reactions
91 Replies
10K Views
Watu 5 wamepoteza maisha na 20 kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu karibu na msikiti wa Shia mjini Kabul wakati watu walipokuwa wanatoka kuswali sala ya Ijumaa Msemanji wa Wizara ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom