Bunge la Catalonia lapiga kura kujitangazia uhuru kutoka Uhispania


K

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Messages
1,691
Likes
2,208
Points
280
K

kirerenya

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2013
1,691 2,208 280
Bunge la Catalonia lapiga kura kujitangazia uhuru kutoka Uhispania, Madrid inachukua hatua kuchukua udhibiti kamili.

Source: BBC
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,125
Likes
7,470
Points
280
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,125 7,470 280
Du hawa ndo washaanza kumeguka
 
S A Ngolilo

S A Ngolilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
902
Likes
981
Points
180
S A Ngolilo

S A Ngolilo

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
902 981 180
Dah ngoja niagize popcorn kabisaaa..
 
M

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
1,067
Likes
1,323
Points
280
M

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
1,067 1,323 280
KWAHIYO EL CLASICO NDIO BASI TENA?
MUHINDI ATAANDAMANA KUPINGA MAANA HUA ANAPIGA SANA HELA MECHI ZA BARCA NA MADRID
 
flagship

flagship

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,621
Likes
1,075
Points
280
flagship

flagship

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,621 1,075 280
Kila la kheri.
 
cerengeti

cerengeti

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
3,649
Likes
1,200
Points
280
cerengeti

cerengeti

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
3,649 1,200 280
Real. Madrid - > serikali ya Madrid.
Barcelona - > serikali ya Catalonia.
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,484
Likes
12,613
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,484 12,613 280
Serikali ya Madrid na Jumuiya za kimataufa hazikubaliana na kitendo hicho. Huenda the upper house of Spain Parliament ikaruhusu kutumika kwa article 155 ambayo inaiagiza serikali kuu kulichukua jumla jimbo hilo au lolote lile. Kulichukua jumla maana yake Catalunya itakoma kuruhusiwa kuwa na serikali yao na kujiendeshea mambo yao na badala yake itapangiwa moja kwa moja na serikali kuu kama ilivyo kwa majimbo mengine.
Hiyo article ikashapitishwa tu hadithi na story za caralunya zitakua zimezikwa rasmi
 
A

Allineando

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
1,780
Likes
843
Points
280
Age
50
A

Allineando

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
1,780 843 280
Madrid kamwe haitokubali kumpa talaka Barcelona
 

Forum statistics

Threads 1,250,240
Members 481,278
Posts 29,725,523