International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Familia moja nchini India imepigwa na mshangao baada ya mlango wa ndege kuangukia nyumba yao katika mji ulio Kusini mwa India wa Hyderabad. Mwanamume ambaye alikuwa akipaka paa la nyumba rangi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kompyuta ya kikosi cha kumlinda rais wa Marekani inayoripotiwa kuwa na michoro ya jumba la Trump Tower, na taarifa zingine za siri imeibwa kutoka kwa gari la afisa mmoja mjini New York. Hata hivyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali nchini China ipo mbioni kupitisha sheria itakayotoa maamuzi ya mtu au kikundi cha watu watakaokaidi kusimama wakati wimbo wa taifa ukipigwa kufungwa miaka mitatu jela. Muswada huo tayari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hackers wa NK wanatuhumiwa kufanya shambulio la wizi wa kimtandao dhidi ya kampuni ya kutengeneza meli, manuari na nyambizi za kijeshi za SK. Kampuni ya Daewoo shipbuilding company, inadai kuibiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ripoti mpya ya mabadiliko ya hali ya hewa imeonyesha kuwa kuongezeka kwa joto kunaathiri afya ya binaadam kwa kiasi kikubwa. Ripoti hizo kutoka kundi la vyuo mbalimbali na mashirika tofauti ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamke ajulikanaye kama Asiya Bibi anashitakiwa kwa kosa la mauaji ya watu 15, huko Pakstan. Mwanamama huyo, ambaye alilenga kumuua mmewe baada ya kulazimishwa kuolewa na mwanaume asiyempenda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Urusi imekuwa moja ya nchi katika dunia hii isiyotegemea mchango wa Marekani na Umoja wa ulaya(EU) katika katika maswala ya maisha.kutokana na upatikanaji wa madini mengi ya kila aina,warusi...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE...
19 Reactions
162 Replies
21K Views
CAMEROON: Mahakama ya Kijeshi imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela Kiongozi wa Upinzani, Aboubakar Saddiki. Alituhumiwa kwa makosa ya uhaini. Mwanasheria wake na Shirika la Kimataifa la kutetea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yan nlkuwa najua Japan n kidume kwa N.k lakn kumbe ni maharagwe yalyooza. Yaan pamoja na kuongoza kwa teknolojia duniani lkn kumbe hamna ki2. Yaan Japan n kunguru kw N.K. Kidume N.K baada y...
10 Reactions
108 Replies
10K Views
Gazeti la Nation lina nakala ya barua ya mwanaharakati huyo ambayo ina majina ya watu 11 wa familia ya Gupta, baadhi yao wakiishi Marekani. Wengine waliotajwa katika barua hiyo ni Zuma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Picha iliyopigwa na Brianl Nganga wa Kenya, imemuonyesha askari wa nchi hiyo akilia wakati akitekeleza majukumu yake ya kutulia ghasia katika kipindi hiki cha uchaguzi wa marudio nafasi ya...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Ndugu wana board, Salaam kwenu. Tunasikitika kuwa na msiba wa ndugu yetu(Mtanzania) uliotokea Marekani (USA) weekend hii. Ninaomba kujulishwa kama kuna anayefahamu utaratibu wa kuzika mwili...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Tume ya uchaguzi Kenya kupitia Mwenyekiti wake Ndugu Chebukati wametangaza rasmi Rais Uhuru Kenyatta mgombea wa chama cha Jubilee kuwa ni mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika nchini Kenya...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Rais wa marekani Donald trump atafanya ziara yake korea ya kusini ikiwa ni wakati ambapo hali ya penisula ya korea ni tete, nina maswali mengi sana juu ya ziara hyo lakini ngoja niuliza matatu tu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
841 Views
Instagram: theinnovationhouse14 Join US if you are serious. THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE Established in 2014 with a vision to deliver the highest level of dedication and professionalism...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
wiki iliyopita nakala za siri juu ya kifo cha JF Kennedy kuwekwa wazi, kuja zaidi ya karatasi 1000 ambazo hazikuwekwa wazi. Raisi Trump amedai ya kwamba nazo zitawekwa wazi baada ya majina na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Zaidi ya kusoma kilimo cha Ndizi Jamaika enzi hizo sijawahi sikia shughuli nyingine ya kiuchumi Jamaika. Ni nchi isiyotajwa sana japo imetoa watu maarufu kama Bob Marley,Bolt,Kuna mchezaji wa...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Mamia ya wafuasi wa vyama vya upinzani wa Guinea Bissau wanandamana ktk mji mkuu wao wakishinikiza Rais wao Jose Mario Vaz ajiuzuru.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…