International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Riyadh 5- star Ritz Carlton Hotel iliyopo Riyadh Saudi Arabia imegeuka kuwa jela kwa watuhumiwa wa kesi za ufisadi inayowakabili watu 208. Hoteli hiyo ya kifahali ndio Rais wa Marekani Donald...
4 Reactions
48 Replies
7K Views
Majaji Chang-ho Chung, Antoine Kesia-Mbe Mindua na Raul C. Pangalangan wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Kivita ICC wamemruhusu Mwendesha Mashtaka aanze kuchunguza makosa ya jinai yaliyofanywa...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
The Rwigaras, one of Rwanda’s richest families, could soon find themselves without shelter if authorities go ahead to auction their properties to settle an outstanding tax bill of about Rwf5...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Wachimba migodi nchini Sierra Leone wamepata almasi ya karati 476 ambayo inatajwa kuwa ya 29 kuwai kupatikana duniani. Wataalamu bado hawana uhakika inaweza kuwa ya thamani ya kiasi gani. Hii ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamke raia wa Marekani aliyekuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kumkashifu rais Robert Mugabe kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter ameachiwa kwa dhamana. Mwanamke huyo Martha O'Donovan, mwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Burundi , MTUKUFU Piere Nkurunzinza amewataka wapenzi ambao hawajafunga ndoa nchini humo wafanye hivyo haraka sana kabla ya mwisho wa mwaka , vinginevyo WATAFUNGWA JELA . Source - EA TV .
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Raia mmoja wa Korea Kaskazini amemuomba rais wa China Xi Jinping kutomrudisha nyumbani mkewe na mwanawe wa kiume akisema kuwa watakabiliwa na kifungo jela au kifo iwapo watarudishwa Korea...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Uchunguzi maalum wa Nyaraka za siri maarufu kama 'Paradise Papers' unaofanywa na Gazeti la The Gurdian la Uingereza na vyombo vingine vya habari washirika zaidi ya 95 duniani umegundua kuwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Somaliland ni nchi iliyojitangazia uhuru kutoka Somalia mwaka 1991. Nchi hii ndogo toka ipate uhuru marais wanne wameshatawala kwa njia ya kidemokrasia. Kwa mara ya kwanza Duniani wapiga kura...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu wanne wamekamatwa nchini Zimbabwe wakituhumiwa kumzomea mke wa rais wa nchi hiyo Grace Mugabe wakati akihutubia mkutano wa hadhara siku ya jumamosi iliyopita. Gazeti linalomilikiwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Are you an African writer? Do you have a story that is set in or about Africa? You can win $100 in Afriforum price for short story, see guidelines for submission...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Kule Marekani binafsi nawapenda sana viongozi kutoka chama cha Democratic.Huwa nawaona kama viongozi welevu wenye mawazo wa kisasa yanayoenda na wakati. Sasa kuna hawa jamaa wawili, CLINTON na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi nchini Burundi limewakamata wanawake 14 ambao walikuwa njiani wakisafirishwa kwenda Omani na kundi la watu wa 3 akiwemo raia mmoja wa Kenya na wa 2 kutoka Burundi.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kikundi cha madaktari wa ugonjwa wa akili waliokutana katika kikao cha dharura huko Yale University Marekani wamedai kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ana matatizo ya kiakili (dangerous mental...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
mke wa raisi mugabe mama grace mugabe ameanza kudai urithii wa uraisi hali iliyosababisha kuingia mgogoro na makamu wa raisi ambae anataka kuwania nafasi hiyooo. wakati huo huo grace mugabe...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
SUDAN KUSINI: Rais Salva Kiir amemuachia huru aliyekuwa Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Paul Malong. > Rais Kiir amesema amemruhusu ili akatafute matibabu katika nchi za Afrika Mashariki. > Rais...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Abiria mmoja aliyekuwa anasafiri na Shirika la ndege la Urusi (Russian airline Aeroflot) amelitaka shirika hilo kumlipa kiasi cha Euro elfu 13 sawa Tsh 35 baada ya kuamshwa ghafla na wahudumu wa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mpango wa kushambulia mfumo wa kifedha wa Qatar ulioandaliwa na wanachama Umoja wa falme za kiarabu (Emirates) umebainika katika folda ya akaunti ya barua pepe ya balozi wa UAE Marekani, Bwana...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
1. France has historical ties with Lebanon, as its former colonial power before it gained independence during WW-II. 2. France has historical ties with Lebanon as the latter's colonial power...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
HI!!!!!! WanaJF habari za muda, napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa upendo wake wapekee kabisa kwa kutujali afya njema na tele. ndg, zangu kwa ufupi,sisi ni vijana wazalendo na wenye nia ya...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…