Kinyayo
Senior Member
- Aug 17, 2016
- 102
- 70
HI!!!!!!
WanaJF habari za muda, napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa upendo wake wapekee kabisa kwa kutujali afya njema na tele.
ndg, zangu kwa ufupi,sisi ni vijana wazalendo na wenye nia ya dhati na taifa letu la TZ.pia ni wanafunzi tuliohitimu chuo kikuu, na tukaamua kushirikiana kwa pamoja na kuanzisha asasi isiyo ya kiserikali itwayo
LIFE SOLUTION AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (LSDO)
www.lsdo.or.tz
asasi hii imesajiliwa na wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia Wazee watoto na wenye Uremavu. na inamwaka mmoja tangia isajiriwe.
Asasi imepewa kibali cha kufanya shughului zake TANZANIA BARA ikiwa na lengo la kuwasaidia vijana walioathiriwa na dawa za kulevya,akina mama wajane waishio katika mazigira magumu na watoto waishio katika mazingira hatarishi kama vile yatima,ombaomba,wasio na makazi maalumu,wanaotumikishwa kingono na wanaofanyishwa kazi.
hivyo basi kama mjuavyo mwanzo ni mugumu,kwani hatuna wafadhili wala pesa ya kuendeshea shirika pia hatuna usafiri wa kueweza kuwafikia makundi yetu kwa urahisi ila tunacho jivunia ni kuwa na project proposals nzuri sana tunazo tafuta watu tufanye nao kazi.
kwani hali imekuwa ngumu kutimiza ndoto yetu tunaomba ushauri nini kifanyike ilituweze kupiga hatua?
Tiririka wanaJF
ila kama unakitu cha kushare au kutusaidia njoo inbox lakini waweza pia ku
pia n
wasiliana nasi(contact us via ) 0758562747