We demand respect for the Constitution, a return to order, says AU chief Alpha Conde
The head of the African Union said on Thursday that the body “will never accept the military coup d'etat” in...
Napenda kulipongeza Jeshi Kwa hatua iliyochukua Dhidi ya wahalifu waliomzunguka mzeee Mugabe.
Idara yA kijasusi ndani ya jeshi ilishagundua mbinu Za kundi LA wahalifu waliomzungumka mzeee mugabe...
Shirika moja la reli Japan limeomba radhi baada ya moja ya treni zake kuondoka sekunde 20 mapema.
Wasimamizi wa shirika la treni za reli ya Tsukuba Express kutoka Tokyo hadi Tsukuba wanasema...
Ghadaffi aliondolewa na kuuawa kinyama kwa maslahi ya wazungu na hatima ya nchi ya libya imekuwa ni mbaya sana na kupelekea vita visivyoisha na ukimbizi wa aina yake duniani.
leo hii tunashuhudia...

ZIMBABWE
Zimbabwe: What's happening?
16 NOVEMBER 2017
Still no statement from Mugabe as situation remains tense after military takeover.

Zimbabweans are waking on Thursday up to uncertainty...
Katika nchi za Africa Mashariki, Tanzania ndio taifa pekee ambalo kuna mfumo wa kuachiana madaraka kati ya mkristo na muislamu. Yaani akitawala mkristo miaka kumi na miaka kumi muislamu...
LUANDA (Reuters) - Angolan President Joao Lourenco dismissed Isabel dos Santos as chair of the state oil company Sonangol on Wednesday in a dramatic move against the family of the former...
Moja kati ya majeshi yenye nidhamu na weledi ni jeshi la Zimbabwe. Kwa haraka kimfumo unaweza kuliona kwenye sura ya JWTZ. Pia ni moja ya nchi yenye military academy kubwa na bora barani Africa...
Johannesburg, Afrika Kusini. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewekwa kizuizini na Jeshi la Ulinzi usiku wa kuamkia jana katika mji mkuu wa Harare, Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amethibitisha...
Hatua ya jeshi la Zimbabwe ya kuchukua madaraka na kumzuilia Rais Robert Mugabe, inaonekana kama mapinduzi wa kijeshi, Muungano wa Afrika AU umesema.
Mkuu wake, Alpha Conde, alisema kuwa AU...
Nimejaribu kusoma hapa na pale kuhusu uchaguzi wa kesho Zimbabwe. Inafurahisha kwamba angalau watu wengi sasa hatimaye wameweza kuona ubaya wa Mugabe na inaonekana kesho wameamua liwe na lisiwe...
Ajali iliyohusisha takribani magari 30 imeua watu 18 Mashariki mwa China siku ya Jumatano
Polisi wanasema watu 21 wamejeruhiwa kati yao 11 wapo katika hali mbaya
Ajali hiyo ilisababishwa na...
Nataka kusema Zimbabwe wana jeshi ambalo ni imara makini,na lenye kutumia weledi wake wote katika kuona nchi yao haiendi au kuendeshwa katika mfumo ambao utakuwa ni kinyume kwa kile...
With Isabel Dos Santos being removed as chair of Sanangol by the new President, its worth reading this article wrote by REBECCA ENGEBRETSEN few days before last election.
Isabel Dos Santos...
Pengine watu wamesahau kuwa kitu kinachofanya wazungu sasa waanze kuwa radicalized dhidi ya wahamiaji ni tabia za kishabiki. Kuingia kwa trump kulifuatana na taswira iliyoonekana upande wa...
Umoja wa Afrika na SADC ni vema sasa kuanza kushughulikia viashiria vya kuvunjika kwa amani miongoni mwa nchi wanachama badala ya kusubiri hadi yatokee kama haya yanayotokea Zimbabwe. Viashiria...
Kwa anaejua lolote kuhusu chanzo cha ugomvi juu ya hizi nchi mbili zenye ubabe mwingi wa maneno.
Kwa anaejua kwa kina na alete uchambuzi kwa hawa watu;
1. Kim
2. Trump
Sababu zipi zinawafanya...
Siku ya Jumamosi chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kilitangaza kuwa, kimempitisha Rais Robert Mugabe kuwa kiongozi na mgombea wa chama hicho katika uchaguzi ujao wa Rais uliopangwa...
Jeshi la Zimbabwe limekanusha madai kwamba mapinduzi ya kijeshi yamefanyika kuiondoa serekali, na kudai kwamba rais Robert Mugabe na familia yake wapo salama.
Katika taarifa iliyotolewa na jeshi...