Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limekosoa kutangazwa kwa kalenda ya uchaguzi pasina maridhiano ya pande zote husika.
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Rais wa Kenya baada ya kuapishwa ametangaza na kusema anataka vita ya kiuchumi isonge mbele mara anasema wananchi wa nchi za Afrika Mashariki hususani watanzania wanakaribishwa kuingia Kenya...
Kansela Merkel anaelekea Côte d'Ivoire kuhudhuria mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika. Mada kuu ni pamoja na vitega uchumi kwaajili ya matumaini bora zaidi kwa vijana...
Hii ni ndege ya Mrusi aina ya SU-35, iko vizuri sana.
Ila na huyu rubani anajiweza aisee, mhhh!!!
Najiuliza siku ndege kama hii ikivaa silaha nzito na itumike si watu wataumia sana ???
Warusi na...
Kundi kuu la upinzani nchini Burundi wamesema wamegomea mazungumzo ya amani yaliyoanza Novemba 28 - Disemba 8 mjini Arusha
Hii inaacha matumaini hafifu kuwa mazungumzo hayo yatasuluhisha vurugu...
EAC, SADC, ECOWAS, AU and UN should have a list of potential countries which coups are likely to happen and proactively take measures to prevent them from happen. The key signs and symptoms of...
Rais wa Mpito, Emmerson Mnangagwa aidhinisha rasmi tarehe ya kuzaliwa ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe (21 Februari) kuadhimishwa kama Sikukuu ya Kitaifa.
Itatambulika kwa jina la...
Kuna zaidi ya wakimbizi 400,000 nchini Libya wengi kutoka Senegal, Ivory Coast, Chad, Somalia, Eritrea na Ethiopia
Rwanda imesema iko tayari kuchukua wahamiaji 30,000 waliopo nchini Libya...
Wadau,
Waziri Mkuu wa Israel atawasili Nairobi tarehe 28/11/2017 na kurejea nyumbani siku hiyo hiyo.
Atahudhuria kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta
========
Msemaji wa serikali Eric Kiraithe...
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imepiga marufuku kufanyika maandamano wiki hii ya kupinga kuendelea kuwepo madarakani kwa Rais Joseph Kabila.
Taarifa iliyochapishwa katika mitandao ya habari...
Mazungumzo ya amani kwa ajili ya kutatua mzozo ulizuka nchini Bueundi mwaka 2015 yang'oa nanga kwa mara ya nne nchini Tanzania
Rais wa zamani wa Tanzania William Mkapa baada ya kupewa wadhifa...
Wadau mnafahamu mengi yaliyofanywa na wakuu mbalimbali katika nchi zao mambo mema kabisa ya maendeleo. Leo nimekutana na hii picha nimemuonea huruma sana huyu Ndg alipata kuka madarakani kwa miaka...
By Steven Jiang and James Griffiths, CNN
Updated 0823 GMT (1623 HKT) November 28, 2017
[paste:font size="5"]
Guo Boxiong and Xu Caihou -- who fell prey to President Xi Jinping's massive...
Jenerali mzalendo, mahiri na mfano wa kuigwa barani Afrika, uzalendo wake hasa katika kuilinda katiba ya Zimbabwe, ni Jenerali kutoka kabila la Washona huyu sio mwingine bali ni Jenerali...
Wahamiaji 31 wamekufa maji na wengine 200 wameokolewa baada ya boti walilokuwa wakisafiria kwenda Ulaya kuzama katika bahari ya Mediterranean karibu na pwani ya Libya.
Serikali ya China imepuuzilia mbali madai kwamba huenda ilihusika katika kumuondoa madarakani kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe.
Maswali yameibuka kwamba huenda mshirika huyo wa...
Ndugu Waafrika baada ya kung'oka kwa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos aliyedumu miaka 38 madarakani pamoja na Mzee Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye pia amejimwaya mwaya katika...
Habari zenu jukwaani. Kwa mujibu wa Radio DW Germany idhaa ya kiswahili ni kuwa aliyekuwa waziri wa fedha ktk serikali ya Zimbabwe, Ignatius Chombo aamefikishwa mahakamani. Taarifa zaidi zinasema...
Mamia ya wanakijiji katika shamba la Arnold katika kijiji cha Mazowe nchini Zimbabwe walivamia shamba la Grace Mugabe ili kusheherekea kung'atuliwa mamlakani kwa kiongozi huyo waliyedai amekuwa...