International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vita vitakavyotokea kati ya North Korea na Marekani itapelekea Marekani kuporomoka kwa uchumi kwani itakuwa ni vita kubwa itakayochukua muda. Marekani anaogopa kuanzisha vita kutokana na...
29 Reactions
112 Replies
18K Views
Karibu watu 27,000 walilazimishwa kukimbia manyumba yao usiku wa manane wakati moto mkubwa ulisamba kwa haraka kusini kwa jimbo la Carlifonia. Watu wamehamishwa kwa lazima kutoka makwao katika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
UIBUKAJI WA BIASHARA YA UTUMWA MAMBOLEO NCHINI LIBYA: NANI ALAUMIWE? Na Sabatho Nyamsenda Nimeshtushwa, nimesikitishwa na kukasirishwa na taarifa kuhusu uibukaji na ueneaji wa biashara ya utumwa...
6 Reactions
103 Replies
16K Views
Aliyekuwa rais wa Yemen Ali Abdullah Saleh ameuawa katika mapigano na washirika wake wa zamani, taarifa zinasema. Mashirika ya habari yanayodhibitiwa na waasi wa Houthi yamewanukuumaafisa...
1 Reactions
44 Replies
9K Views
Kama tulivyosikia hapo juzi, hamna silaha itakayoachwa kutumika, ushindi mapema kabisa, point tatu ziko wazi kabisa, tunasubiri wapige risasi ya kwanza waone, wanajeshi mil 2 wako tayari kwa...
55 Reactions
466 Replies
47K Views
Wakuu naombeni mnisaidie. Mimi nilikuwa Napanga nyumba mjini lakini nikabahatika kujenga nyumba nje kidogo ya mji na nilihamia mwaka Jana japo haijakamilika 100%. Tatizo linalonikabili ni panya na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hatimaye Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa (UN) wamekubaliana kuwaondoa Wahamiaji takribani 15,000 waliokwama nchini Libya ifikapo mwishoni mwa mwaka 2017. Wahamiaji hao wamekuwa wakiuzwa...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Rais Idris Derby wa Chad ameamua kungilia kati biashara ya utumwa dhidi ya Waafrika inayoendelea nchini Libya, na kulipa taifa hilo masaa 24 ili kuwaachia Waafrika wanaoshikiliwa kama watumwa...
4 Reactions
41 Replies
7K Views
Yuko paradiso huko akila maisha na wake zake watano na watoto kibao, analipwa dolla za kimarekani 100,000/= kwa mwezi. Nasikia hata Balali alikimbilia huko; hivi huko Bahamas kuna nini...
6 Reactions
100 Replies
25K Views
Polisi katika Jimbo la California wanamtafuta kijana mmoja aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akimtupa Paka hewani na kumuacha aanguke chini. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi inasema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
*GOOD NEWS KWA WANAWAKE WOTE TANZANIA>>>PLZ, SHEA KWA WOTE UNAOWAJALI..[4 WEEKS U.S PROGRAMMES KWA WANAWAKE ,YOUNG ENTREPRENEURS,>>FURSA KWA KINA DADA]* ✈ *CHUO CHA SUA KWA USHIRIKIANO NA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja jijini New Dehli nchini India amekamatwa na polisi kwa kosa la kuvua viatu vinavyotoa harufu mbaya kwenye basi la usafiri wa umma kwa kusababisha vurugu kwa abiria waliokuwa kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
inasemekana huyu ni mtoto wa rais mpya wa zimbabwe aliyeapishwa leo,ndg.emerson mnangagwa. screenshot/picha zinajieleza.karibuni kwa tafakari.
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Mbunge mwanamume nchini Australia ameposa kwa mpenzi wake wa kiume wakati wa kikao cha bunge cha kujadili kuhalalishwa ndoa za jinsia moja. Tim Wilson alimchumbia Ryan Bolger ambaye alikuwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wahudumu kwenye ndege ya shirika la Cathay Pacific iliyokuwa katika anga ya Japan waliripoti kuona Kombora la Korea Kaskazini lililokuwa likifanyiwa majaribio wiki iliyopita. Shirika hilo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu tarehe 01.01.2017 mpaka sasa bila shaka kuna MATUKIO kadhaa ya kusisimua yaliyoweza kutokea Duniani. Naomba tukumbushane kwa kutaja matukio matano(5) tu unayoyakumbuka.
0 Reactions
8 Replies
970 Views
Mahakama ya Juu imeunga mkono kutekelezwa kwa mpango wa Rais Trump unaopiga marufuku Raia kutoka nchi sita za Kiislamu(Chad, Iran, Libya, Somalia na Yemen) kuingia nchini humo. ====== Handing...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Serikikali ya Rais Donald Trump imejitoa kwenye mpango wa Umoja wa Kimataifa wa kuweka mazingira yaliyobora kwa wahamiaji na wakimbizi Serikali imetaja sababu za kujitoa kwenye huo kwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hospitali kwenye mji mkuu wa India, Delhi imewafuta kazi madaktari wawili waliotangaza kimakosa kuwa mtoto aliyekuwa amezaliwa alikuw amekufa. Madaktari kwenye hospitali ya kibinafsi ya Max...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Hospitali kwenye mji mkuu wa India, Delhi imewafuta kazi madaktari wawili waliotangaza kimakosa kuwa mtoto aliyekuwa amezaliwa alikuwa amekufa. Madaktari kwenye hospitali ya kibinafsi ya Max...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…