Col FEN
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 327
- 460
Rais Idris Derby wa Chad ameamua kungilia kati biashara ya utumwa dhidi ya Waafrika inayoendelea nchini Libya, na kulipa taifa hilo masaa 24 ili kuwaachia Waafrika wanaoshikiliwa kama watumwa nchini humo kabla hajaingia kulivamia taifa hilo kijeshi.
Mpaka sasa Rais huyo ameshaamuru vikosi vya askari wake 10,000 kusogea mpakani mwa Libya.
Mpaka sasa Rais huyo ameshaamuru vikosi vya askari wake 10,000 kusogea mpakani mwa Libya.