Nipe maoni yako kuhusu mada hii.

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Tangu tarehe 01.01.2017 mpaka sasa bila shaka kuna MATUKIO kadhaa ya kusisimua yaliyoweza kutokea Duniani.
Naomba tukumbushane kwa kutaja matukio matano(5) tu unayoyakumbuka.
 
Akihamaia ccm, ujue ni mmoja wa wale waoga. Waoga hawawezi kubaki upinzani hata kidogo.watakaobaki upinzani ni Daredevils only.
 
North korea kupitisha makombora yake 2 juu ya Japan bila kutunguliwa.

Dr. LOUIS SHIKA kuibuka na kuwa maarufu ghafla na kupiga mkwanja kwa kutangaza biashara za makampuni.

Jaji mkuu wa mahakama ya rufaa ya Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa uraisi na kupelekea uchaguzi kurudiwa.
 
Back
Top Bottom