MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Jamani mashabiki wa mapanki ebu njooni hapa tumuongezee maujanja (tayari mengine anayo),
Je aanze kuwapiga Korea kusini kwanza au aanze marine Kwanzaa,Je aanze na nyuklia au nyuklia atumie mwishoni?, Vipi ampige Trump pekee au awapige na NATO kwa ujumla?
Baada ya hiki kichapo nadhani dunia itakuwa na mtazamo mpya kabisa kuhusu huyu Big brother labda itakuwa ni wakati wetu na sisi kuwa superpower.
Kila la kheri ndugu zangu North Korea. Karibuni kwa maoni na ushauri.
UPDATES.
"We'll be conducting more missile tests on a weekly, monthly and yearly basis," Vice-Foreign Minister Han Song-ryol told the BBC's John Sudworth.
Tutaenda vitani kama ikibidi -North Korea