Ndege Za kijeshi za israel zashambulia kambi ya kijeshi za Iran nchini Syria

Sasa hadi base ishajengwa ndio waanze kushambulia saizi hapo wamebugi cha muhimu apeleke ground forces au aende kuishambulia Iran yenyewe nchini mwake.Ila kingine naona wamejitahidi kuintercept 2 missile's maana kipindi cha nyuma hawakuwa wakiziona
NB;mashambulizi ya anga hayatafua dafu maana Israel ameishambulia sana Syria na hakuna kilichobadilika hadi sasa zaidi ya Syria kuendelea kuimarika
 
Media Iliyodai interception ni ya wasyria wenyewe. Waarabu ni wazuri sana Kwa propaganda .Isreal hushambulia syria pale inapojiona ipo hatarini.
 
Pigaaaa pigaaaaa pigaaaa fast.. Just hit them, hit again, again, uuuhh... Iran vichwa ngumu sana..
 
Back
Top Bottom