King0001
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 200
- 285
China imefanya mazoezi ya kipekee ya kijeshi dhidi ya US kuchochea vita vya nyuklia Korea ya Kaskazini.
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alisema ilihuzunisha kwa Marekani na Korea ya kusini kutositisha mvutano na Kim Jon-un ktk miezi miwili ya utulivu wa NK kabla ya jaribio la wiki iliyopita la NK .
US leo imeeenda mbele zaidi kwa kufanya mfululizo wa mazoezi makubwa ya kijeshi pamoja na Korea ya Kusini, licha ya onyo kutoka Pyongyang kuwa jambo hilo litaisukuma peninsula ya Korea kwenye vita vya nyuklia.
Kwa kuhofia vita hiyo, Air Force ya China ilituma ndege yake ya ufuatiliaji kwenye Yellow Sea na Bahari ya Mashariki ya China katika siku chache za mwisho ili "kuboresha utayari wa kupigana na kulinda maslahi ya kimkakati ya China"
Ndege ya China iliruka ktk maeneo ambayo haijawahi kuingia hapo awali, na ilisindikizwa na fighter jets, alert aircraft na guided missile forces, msemaji Shen Jinke alisema, kulingana na chapisho rasmi kwenye microblog ya Jeshi la anga la China
CHINA preparing to JOIN forces with North Korea in WORLD WAR 3 warns military expert
China carries out OWN drills as it attacks USA for pushing North Korea to nuclear war
China did something it's never done before to warn the US about fighting North Korea
China Hints That It May Back North Korea in the Event of War
CHINA has started preparing its military to support North Korea if World War 3 breaks out with the US, a military expert revealed.
The People’s Liberation Army of China has been conducting military exercises on the Korean border in preparation for war breaking out between the US and North Korea.
The fear of war between the two countries has risen over the past several months after China’s neighbour carried out a number of illegal missile tests and threatened to target the US territory of Guam with a nuclear missile.
Following the announcement regarding China’s new military drills, military expert Li Jie has given her verdict as to who the country would side within any future conflict.
She said: “The timing of this high-profile announcement by the PLA is a warning to Washington and Seoul not to provoke Pyongyang any further.”
China’s Air Force sent its surveillance aircraft to the Yellow Sea and East China Sea in the last few days claiming it was there to ”improve combat-readiness and safeguard the country's strategic interests”.
The aircraft took a flight path not previously flown to regions they had never previously operated in, and coordinated with fighter jets, alert aircraft and guided missile forces, spokesman Shen Jinke said, according to a post on the Air Force's official microblog.
The move comes as the US prepares to conduct its own military drills in the region with South Korea.