Rais wa Burundi azindua kampeni ya kubadilisha Katiba
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza.REUTERS/Stringer
Serikali ya Burundi imeanzisha kampeni tangu Jana Jumanne kuwaelezea na kuhamasisha...
UN kupigia kura mswada kuhusu Jerusalem
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatafakari kupitisha mswada unaosema mabadiliko yoyote ya hadhi ya mji wa Jerusalem hayatakuwa na athari kisheria...
Korea Kaskazini imeonya vikali hatua hiyo.
Hayo yanajili baada ya Ikulu ya Marekani kupingana na kauli ya waziri Rex Tillerson kwamba Marekani ipo tayari kwa mazungumzo na Korea Kaskazini bila...
Wananchi wa Burundi watakiwa kuchangia fedha za uchaguzi wa 2020
Na RFI
Serikali ya Burundi inasema raia watakiwa kuchangia kwa hiari yao katika uchaguzi wa mwaka 2020.PHOTO / PHIL MOORE...
Ujerumani yagundua akaunti bandia za Wachina
Shirika la Ujasusi la Ujerumani (BfV) limechapisha taarifa za watumiaji wa mitandao ya kijamii linaosema ni majina feki yanayotumiwa na majasusi wa...
Palestina yazika wahanga, yailaani Marekani
Serikali ya Palestina imekataa wito wa Marekani kutaka sehemu ya Ukuta wa Magharibi katika Mji Mkongwe wa Jerusalem kubakia kwenye udhibiti wa Israel...
Ijumaa ya ghadhabu Jerusalem
Maandamano kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem yaendelea katika maeneo ya wapalestina
15.12.2017 ~ 17.12.2017
Maandamano kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem...
Ndege sizokuwa na rubani za Uturuki zavutia mataifa tofauti
16.12.2017 ~ 17.12.2017
Waziri wa ulinzi wa Uturuki Nerettin Canikli asema kuwa mataifa mengi ulimwenguni ynavutiwa kununua ndege...
Singapore.
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu awasili wiki hii nchini Singapore kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Kiongozi huyo aliyekuwa...
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka MSF limesema kwa akali Waislamu 6,700 wa jamii ya Rohingya waliuliwa katika kipindi cha mwezi mmoja nchini Myanmar, tangu operesheni mpya iliyoungwa mkono na...
Korea Kaskazini imelaani kitendo Cha Marekani kutaka kuiwekea Naval Blockade nchi hiyo na kukiita ni kitendo haramu.
"Maritime Blockade inayotaka kufanywa na Marekani haikubaliki kabisa kwani...
Watu 6 akiwemo Dada yake Rais Juan Hernandez wa Honduras, Holda Hernandez wamefariki dunia baada ya Ndege waliyokuwa wakisafiria kuanguka jana Jumamosi.
Mabaki ya Ndege hiyo binafsi iliyobeba...
Rais Donald Trump anatarajiwa kuutambua rasmi mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel na hivyo ubalozi wa USA nchini Israel utahamishiwa Jerusalem kutoka Tel Aviv.
Hatua hii inatarajiwa...
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametaka wanachama wa Chama cha Zanu-PF kuachana na nyimbo za kumsifu na kumtukuza.
Amewataka watilie mkazo wimbo wa Taifa na nyingine zinazozungumzia...
FORMER Finance minister Ignatius Chombo, who just recently spent two weeks in remand prison on graft charges, yesterday appeared at the Harare Magistrates’ Court facing fresh corruption and...
Mji wa Jerusalem
Kumekuwa na mzozo wa muda mrefu kuhusu udhibiti wa mji wa Jerusalem kati ya Waisraeli na Wapalestina.
Mji huo kwa sasa huwa umegawanywa mara mbili, Jerusalem Mashariki na...
Kuna taarifa kuwa eti Marekani sasa imeomba kukaa meza moja na Korea Kaskazini kufanya majadiliano badala ya vitisho na ubabe. Kama hii kweli, inamaanisha nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.