Ajali ya Ndege yaua 6 akiwemo dada yake Rais

Ajali ya Ndege yaua 6 akiwemo dada yake Rais

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
Watu 6 akiwemo Dada yake Rais Juan Hernandez wa Honduras, Holda Hernandez wamefariki dunia baada ya Ndege waliyokuwa wakisafiria kuanguka jana Jumamosi.

Mabaki ya Ndege hiyo binafsi iliyobeba jumla ya watu 6, yaliokotwa na hakuna hata mmooja aliyekuwemo kwenye ndege hiyo alitoka salama.
-----------

TEGUCIGALPA (Reuters) - The sister of Honduran President Juan Orlando Hernandez and five others died when the helicopter they were traveling in crashed on Saturday, the Honduran military said.

Hilda Hernandez, 51, was a close advisor to her brother, who is embroiled in political turmoil in the wake of a Nov. 26 presidential election, which remains unresolved. She was previously the government’s communications secretary.

Two reconnaissance helicopters were sent to comb the missing Eurocopter AS350 Ecureuil helicopter’s planned flight path from Toncontin international airport in capital city Tegucigalpa to Comayagua, some 50 miles (80 km) northwest, but because of inclement weather conditions land teams were sent in, the Honduran armed forces said in the statement.

“The remains of the aircraft were located and no survivors were found,” the armed forces said, adding it would investigate the causes of the crash.

A government source, who asked not to be named said: “The six people aboard the aircraft, including Hilda Hernandez have been found dead.”

Honduras has been roiled by political instability following the presidential vote, with center-left Salvador Nasralla, a TV star, trailing conservative incumbent Hernandez by 1.6 percentage points according to the official count. The tally has been questioned by the two main opposition parties and a wide swathe of the diplomatic corps.
 
Asante kwa taarifa mkuu, sijawahi kuisikia nchi inaitwa Honduran ila naijua Honduras mkuu au niko wrong kama sipo sahihi nisahihisheni wajameni
 
Mnashtua watu kwa kutosema Rais wa wapi? Maana hapa kitanzania ukisema tu Rais huwa moja moja tunaelewa ni wa kwetu.
 
Mnashtua watu kwa kutosema Rais wa wapi? Maana hapa kitanzania ukisema tu Rais huwa moja moja tunaelewa ni wa kwetu.
Uandishi wa kuteka hisia huo; angeandika kwa mfano, ndege yaua 6 Honduras, hakuna ambaye angefungua hiyo link. Badala yake ni kutengeneza title ambayo ili pressure ishuke ni lazima uisome habari husika - Shigongo udaku type.
 
Mimi nilizani ni ile......
Yani umeniaribia weekend yangu kabisa.
Rip marehemu wite
 
Back
Top Bottom