Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,631
2,000
DQY5z8oXcAECYbm.jpg

Rais Donald Trump anatarajiwa kuutambua rasmi mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel na hivyo ubalozi wa USA nchini Israel utahamishiwa Jerusalem kutoka Tel Aviv.

Hatua hii inatarajiwa kuibua vurugu mpya kati ya wapalestina na wayahudi.

Mji wa Jerusalemu ni mji unaotambulika kama mji mtakatifu na imani za kiyahudi,kiislamu na kikristu.

Mji huu umepiganiwa vita mara nyingi na umiliki wake umekuwa ukihamahama kutoka imani moja hadi nyingine.

UPDATES:
Trump:Amechukua maamuzi yaliyowashinda marais waliopita wa marekani.
Mwaka 1995 bunge la marekani lilipitisha Sheria ya kuhamishia ubalozi wa USA katika mji wa Jerusalemu.
Trump ameitambua jerusalem kama mji mkuu wa israel na kuamuru mchakato wa kujenga ubalozi uanze mara moja.

Netanyahu:Amemshukuru Rais Trump kwa uamuzi wake na amesema hakutakuwa na amani ya kweli bila Jerusalemu kutambulika kama ni makao makuu ya israel bila kugawanywa.
Hata hivyo Israel itaheshimu umuhimu wa kiimani katika Jerusalem.ameomba mataifa mengine kama UK na German kuungana na US kuitambua Jerusalem kama makao makuu ya israel.

UNSG GUTERES:Hakuna njia bora na mbadala wa amani zaidi ya two state solution.
Suala la Jerusalemu ni la mwisho na muhimu katika majadiliano.
Ameonya juu ya Taifa moja kufanya maamuzi bila kushirikisha jumuiya ya kimataifa.

Hamas:Tangazo la Trump limefungua milango ya kuzimu kwa maslahi ya marekani mashariki ya kati.

PLO:Tangazo la Trump linavuruga mazungumzo ya Two state solution.

======

Rais Donald Trump amesema kuwa Marekani inaitambua rasmi Jerusalem kuwa ni Mji Mkuu wa Israel na mara moja mchakato wa kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv umeanza, wakati tukio hilo likikaribisha mvutano hasi kutoka nchi nyingi duniani.

“Jerusalem siyo kwamba tu ni kitovu cha dini kubwa tatu duniani, lakini hivi sasa ni kiini cha demokrasia yenye mafanikio makubwa duniani,” Trump amesema katika hotuba yake Jumatano.

Amesisitiza kuwa Marekani bado imejikita katika kusaidia kurahisisha kupatikana mkataba wa amani ambao unakubalika na pande zote “Israel na Palestina.” Nakusudia kufanya kila ninachoweza katika utawala wangu kusaidia pande mbili kufikia makubaliano,” Trump amesema.

Mapema Jumatano Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson alisema Jumatano kuwa Marekani bado inafikiri kuwa “kuna fursa nzuri sana ya kufikia amani” kati ya Israeli na Palestina huko Mashariki ya Kati.

Amesema licha ya Rais Donald Trump kuwa ameanza kutoa matamko yenye utata kuwa Marekani itautambua mji wa Jerusalem kuwa ni makao makuu ya Isreali bado kuna fursa ya kufikia amani.

Akiwa huko Brussels, Tillerson amesema Trump anania ya kuendeleza mchakato wa mazungumzo ya amani Mashariki ya Kati. Tayari ana timu ambayo ameiuunda.

Timu hiyo imekuwa ikifanya kazi kwa bidii.” Mwanadiplomasia wa juu wa Marekani amehimiza watu “kusikiliza kwa makini hotuba yake yote” aliotoa Trump.

Tangazo linalotegemewa kutolewa na Trump tayari limeibua hisia tofauti kutoka katika nchi za Kiarabu na Kiislam, ambao wamesema uamuzi huo wa kuhamisha Ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem.

Viongozi wengi wameeleza kuwa linaweza kuleta mvutano mkubwa katika eneo la Mashariki ya Kati na kuharibu juhudi za Marekani katika kufikia suluhisho la amani baina ya Israeli na Palestina.

Wapalestina wametangaza kuwa kwa muda wa siku tatu wataonyesha kuudhiwa kwao na uamuzi huo na kuupinga mpango wa Trump.

Rais wa Iran Hassan Rouhani amekosoa uamuzi wa Trump na kusema: “ni kosa, kinyume cha sheria, ni uchochezi na ni hatari kubwa.” Amesema Iran haitovumilia uharibifu wa maeneo matakatifu ya Kiislam. Waislam lazima wasimame pamoja dhidi ya hujuma hii kubwa.”

Hotuba ya Rais Donald Trump
Thank you.

When I came into office, I promised to look at the world's challenges with open eyes and very fresh thinking. We cannot solve our problems by making the same failed assumptions and repeating the same failed strategies of the past. All challenges demand new approaches.

My announcement today marks the beginning of a new approach to conflict between Israel and the Palestinians. In 1995, Congress adopted the Jerusalem Embassy Act urging the federal government to relocate the American embassy to Jerusalem and to recognize that that city — and so importantly — is Israel's capital.

This act passed Congress by an overwhelming bipartisan majority, and was reaffirmed by unanimous vote of the Senate only six months ago. Yet for over 20 years, every previous American president has exercised the law's waiver, refusing to move the US embassy to Jerusalem or to recognize Jerusalem as Israel's capital city.

Presidents issued these waivers under the belief that delaying the recognition of Jerusalem would advance the cause of peace. Some say they lacked courage, but they made their best judgments based on facts as they understood them at the time.

Nevertheless, the record is in. After more than two decades of waivers, we are no closer to a lasting peace agreement between Israel and the Palestinians. It would be folly to assume that repeating the exact same formula would now produce a different or better result.

Therefore, I have determined that it is time to officially recognize Jerusalem as the capital of Israel. While previous presidents have made this a major campaign promise, they failed to deliver. Today, I am delivering.

I've judged this course of action to be in the best interests of the United States of America and the pursuit of peace between Israel and the Palestinians. This is a long overdue step to advance the peace process and to work towards a lasting agreement.

Israel is a sovereign nation with the right, like every other sovereign nation, to determine its own capital. Acknowledging this as a fact is a necessary condition for achieving peace.

It was 70 years ago that the United States under President Truman recognized the state of Israel. Ever since then, Israel has made its capital in the city of Jerusalem, the capital the Jewish people established in ancient times.

Today, Jerusalem is the seat of the modern Israeli government. It is the home of the Israeli parliament, the Knesset, as well as the Israeli supreme court. It is the location of the official residence of the prime minister and the president. It is the headquarters of many government ministries. For decades, visiting American presidents, secretaries of state, and military leaders have met their Israeli counterparts in Jerusalem, as I did on my trip to Israel earlier this year.

Jerusalem is not just the heart of three great religions, but it is now also the heart of one of the most successful democracies in the world. Over the past seven decades, the Israeli people have built a country where Jews, Muslims, and Christians — and people of all faiths — are free to live and worship according to their conscience and according to their beliefs. Jerusalem is today — and must remain — a place where Jews pray at the Western Wall, where Christians walk the Stations of the Cross, and where Muslims worship at Al-Aqsa Mosque.

However, through all of these years, presidents representing the United States have declined to officially recognize Jerusalem as Israel's capital. In fact, we have declined to acknowledge any Israeli capital at all. But today, we finally acknowledge the obvious: that Jerusalem is Israel's capital. This is nothing more or less than a recognition of reality. It is also the right thing to do. It's something that has to be done.

That is why, consistent with the Jerusalem Embassy Act, I am also directing the State Department to begin preparation to move the American embassy from Tel Aviv to Jerusalem. This will immediately begin the process of hiring architects, engineers, and planners so that a new embassy, when completed, will be a magnificent tribute to peace.

In making these announcements, I also want to make one point very clear: This decision is not intended in any way to reflect a departure from our strong commitment to facilitate a lasting peace agreement. We want an agreement that is a great deal for the Israelis and a great deal for the Palestinians.

We are not taking a position on any final status issues, including the specific boundaries of the Israeli sovereignty in Jerusalem or the resolution of contested borders. Those questions are up to the parties involved. The United States remains deeply committed to helping facilitate a peace agreement that is acceptable to both sides. I intend to do everything in my power to help forge such an agreement.

Without question, Jerusalem is one of the most sensitive issues in those talks. The United States would support a two-state solution if agreed to by both sides. In the meantime, I call on all parties to maintain the status quo at Jerusalem's holy sites, including the Temple Mount, also known as Haram al-Sharif. Above all, our greatest hope is for peace — the universal yearning in every human soul.

With today's action, I reaffirm my administration's longstanding commitment to a future of peace and security for the region. There will, of course, be disagreement and dissent regarding this announcement. But we are confident that ultimately, as we work through these disagreements, we will arrive at a peace and a place far greater in understanding and cooperation.

This sacred city should call forth the best in humanity — lifting our sights to what is possible, not pulling us back and down to the old fights that have become so totally predictable. Peace is never beyond the grasp of those willing to reach it. So today we call for calm, for moderation, and for the voices of tolerance to prevail over the purveyors of hate. Our children should inherit our love, not our conflicts.

I repeat the message I delivered at the historic and extraordinary summit in Saudi Arabia earlier this year: The Middle East is a region rich with culture, spirit, and history. Its people are brilliant, proud, and diverse, vibrant and strong.

But the incredible future awaiting this region is held at bay by bloodshed, ignorance, and terror. Vice President Pence will travel to the region in the coming days to reaffirm our commitment to work with partners throughout the Middle East to defeat radicalism that threatens the hopes and dreams of future generations.

It is time for the many who desire peace to expel the extremists from their midsts. It is time for all civilized nations, and people, to respond to disagreement with reasoned debate, not violence. And it is time for young and moderate voices all across the Middle East to claim for themselves a bright and beautiful future.

So today, let us rededicate ourselves to a path of mutual understanding and respect. Let us rethink old assumptions and open our hearts and minds to possible and possibilities. And finally, I ask the leaders of the region — political and religious, Israeli and Palestinian, Jewish and Christian and Muslim — to join us in the noble quest for lasting peace.

Thank you, God bless you, God bless Israel, God bless the Palestinians, and God bless the United States.

Thank you very much. Thank you.
 

chipa GM

JF-Expert Member
Jan 21, 2012
1,627
2,000
Hao wapalestina si wahamie Misri kazi kung'ang'ania visivyowahusu.Jerusalem ni mji mkuu na muhimu sana kwetu wakristo hebu watutolee majini yao

Mimi ni mkristo lakini ndugu yangu umepotoka sana hapa. Usiandike jambo lolote kwa msingi wa kidini. si vyema kukashifu watu au imani yao..Kwanza faham tu ukristo na uislamu haupo sana Israel km ambavyo unaelewa..Israel wengi siyo christian wala muslim na hawaamini hata kifo cha Yesu, wala Mtume Muhamad..wengi ni Jews.
 

Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987
2,000
Trump anaenda kuharibu kila kitu,mazungumzo yenyewe mpaka sasa kati ya Israel na Palestina juu ya huo mji haujafikia makubaliano ni kama umesimama yeye anaenda kuongeza ugonjwa mwingine.

Akilifanya hili ategemee makubwa nchi mwake,kashapiga ban nchi za kiislamu takribani sita,anataka kuongeza na hili akae akijua nchi za kiislamu zinamwangalia tuu kwa jicho la tatu ambalo yeye halioni wazi.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,065
2,000
Kwa yakini Trump ni mtu wa Mungu. Mwenyezi Mungu ambariki sana Donald Trump; amwongoze kila atokapo na aingiapo. Huyu jamaa ananikosha sana kwa maamuzi yake yasiyo ya kinafiki! Ni rahisi kwa mbingu na nchi kupita kuliko Jerusalem kukoma kuwa mji wa Yakobo. Hilo ni agano la milele. Brother mgen hebu pitia pande hizi Kaka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom