Ijumaa ya ghadhabu Jerusalem

Ijumaa ya ghadhabu Jerusalem

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
9,506
Reaction score
10,870
Ijumaa ya ghadhabu Jerusalem
Maandamano kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem yaendelea katika maeneo ya wapalestina
15.12.2017 ~ 17.12.2017
5a33c3c0a6b4d.jpg

Maandamano kupinga uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem yaendelea katika maeneo ya wapalestina

Maandamano ya kupinga uamzui wa rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa seriakli yak inatambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Isarel yaendelea kote katika maeneo ya wapalestina.

Wanajeshi wa Israel wamemshambulia raia mmoja wa Palestina katika maandaman o Ramallah kwa risasi mbele ya waandishi wa habari.

Wanajeshi wa Israel walizuia gari la huduma ya kwanza la Palestina kumpa huduma ya kwanza kumpa kijana huyo wa kipalestina aliejeruhiwa na kuzua ghasia kwa mara nyingine baina ya jeshi la Israel na waandamanaji.

Wanaharakati kutoka katika maeneo tofauti ulimwenguni wameshirikiana na wapalestina katika maandamano baada ya ibada ya Ijumaa mjini Jerusalem.

Bendera ya Uturuki, Algeria na malasia zimeonekana zikipepea al Aqsa.
 
Kauli nyingi za trump zinaleta ahida .
Ni kwann?
 
Forex trade haijatikisika? maana hii biashara inaenda na upepo wa dunia
 
Back
Top Bottom