International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waarabu na mashabiki wao acheni unafiki. Jerusalem haijawahi kuwa mji Wa Palestina. Hata mwaka 1967 Jerusalem ulikua mji Wa Jordan. Israel waliutwaa kijeshi toka Jordan. Unafiki ni kuona badala...
25 Reactions
118 Replies
18K Views
Maafisa wa polisi katika mji wa kusini mwa India wa Hyderabad wanasema kuwa wamemkamata mwanamume mmoja baada ya mwanamke mmoja kuchomwa hadi kufa wakati wa mgogoro. Sandhya Rani, mwenye umri wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
By NURUDDIN FARAH More by this Author On the second day of my visit to Mogadishu within a couple of days of the truck bombing, I visited the site of the explosion in the company of Prof Abdullahi...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
MPANGO MPYA WA USALAMA WA MAREKANI NI TISHIO KWA KIM JONG-UN. Katika siku ambayo baraza la usalama la Umoja wa mataifa linapiga kura kuidhinisha vikwazo vikali zaidi dhidi ya Korea kaskazini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amefukuza kazi Naibu wake, Damian Green baada ya kugundulika alidanganya kuhusu kwa video za ngono zilizokutwa kwenye komputa yake ya bungeni Uchunguzi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jeshi la Yemeni limemkamata kiongozi wa Houthi na wenzake watatu katika jimbo la kusini la Dhale. "Hussein Al-Houthi, Kamanda wa Houthi wa jimbo la Kati la Ibb, pamoja na wenzake watatu, alitekwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameyasema hayo wakati alipokua akiendesha baraza la mawaziri leo hii.... Rais wa Marekani, ametishia kukata misaada kwa nchi ambazo zinaunga mkono azimio la Umoja wa...
5 Reactions
93 Replies
10K Views
Takribani wa 90 wamefariki kufuatia mvua kubwa iliyoamtaba na Kimvunga kusababisha maporomoko ya ardhi. > Katika kadhia hiyo mamia ya watu hawajulikani walipo. Aidha kwa mujibu wa taarifa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Habari zenu wanajukwaa. Moja kwa moja kwenye mada. Serikali ya Rwanda imetuma kikosi maalum cha askari polisi ambayo idadi yake haikuwekwa wazi ili kwenda kulinda amani sudan kusini. Wachambuzi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali ya Rwanda kwa kushirikiana na shirika la wakimbizi duniani UNHRC wamewataka wanyarwanda wanaoishi kama wakimbizi nje ya nchi yao warejee Rwanda, taarifa hiyo imetolewa na Kurugenzi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
balozi wa marekani katika umoja wa mataifa Nikki Haley amezitishianchi zitakazoiipinga marekani kuhusu mpango wa kuitambua jerusalem kama makao makuu ya israel amesema atapeleka majina ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Korea Kusini imesema ipo tayari kufanya mazungumzo na NK bila ya kuiwekea (NK) masharti yoyote. Utayari huo waja ukiandamana na matumaini makubwa (ya South Korea) kuwa NK huwenda ikakukubali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nabii Shepherd Bushiri wa nchini Malawi, amemnunulia gari aina ya Maserati Levante binti yake mwenye umri wa miaka minne kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa. Gari hilo aina ya Maserati Levante...
5 Reactions
82 Replies
16K Views
If rich people make more money their businesses are going to expand and that is good for the working class. There are going to be more jobs and that's what democrats don't want. They want people...
0 Reactions
0 Replies
483 Views
Hii video ni ya Tangazo la tarakilishi aina ya macintosh mwaka 1982 iliyotengenezwa na apple. Ila inaonekana apple waliona soko kubwa mbeleni katika biashara ya 'operating systems' na hivyo...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimeipenda sana hii. Kwangu binafsi, ni jambo la furaha kuona kiongozi wa nchi anatambuwa mambo kama haya. It is the “school of thought” shared by many true patriots. Hakuna mwafrika mwenye uelewa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ya Nigeria inatarajia kuifanyia mabadiliko makubwa idara yake ya usalama wa Taifa hususani kitengo mambo ya ndani hususani huduma za siri na operesheni mbalimbali, mabadiliko hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana Rais wa Marekani ametishia kuzinyima misaada ya kifedha nchi ambazo zitapiga kura ktk baraza za Umoja wa Mataifa yani UN kama zitapiga kura kinyume na matakwa ya US. Kauli hiyo imepingwa...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Wabunge wa Uganda wameyapitisha mabadiliko ya Katiba ambayo sasa yanamruhusu Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni kuwania nafasi hiyo ya juu kabisa kwa muhula wa sita. Baada ya siku tatu za...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia. Ikiwa kura zote zinakaribia kukamillika kuhesabiwa Katika rekodi ya wapiga idadi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom