School of Thought-With the President on this one!

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,575
Reaction score
25,878
Nimeipenda sana hii. Kwangu binafsi, ni jambo la furaha kuona kiongozi wa nchi anatambuwa mambo kama haya. It is the “school of thought” shared by many true patriots. Hakuna mwafrika mwenye uelewa sahihi na mzalendo, ambaye atapingana na hii school of thought!

Walichofanya Libya, Iraqi and some other places kama alivyotaja, siyo sahihi kabisa. Yaliyotokea kule yanatakiwa yawe somo tosha kabisa kwa viongozi wengi was Africa na kwingineko. Somo hili kwa Tanzania tumepata kiongozi anayelielewa!

The only thing, arekebishe anavyodeal na wananchi, ili isiwe rahisi kutokea yaliyotokea Libya, Iraq nk.
 
Attachments

Mmmh mimi sijaelewa kitu ngoja nisubiri majadiliano yaanze labda nitaelewa na kuchangia
 
Mtu anaandika kama kalewa, anafukuzwa na polisi, anaendesha gari halafu anavuta bangi na kuandika post hapo hapo.

Hata kutuelezea kaanzia wapi na anachoelezea ni nini kashindwa.
 
Mkuu umeandika haraka sijui; au you are under the influence of something ... you don't make sense at all!
 
Mtu anaandika kama kalewa, anafukuzwa na polisi, anaendesha gari halafu anavuta bangi na kuandika post hapo hapo.

Hata kutuelezea kaanzia wapi na anachoelezea ni nini kashindwa.
Acha hasira. I’m as much pissed off. Nahangaika ku upload video clip iliyobeba ujumbe ikawa inanipa shida. Usipende kuropoka. Be nice
 
Duh...hii sasa Libya, Iraq, Syria, au Somalia? Maana makombora ya haja! 😀😀😀

Cool down!
 
Back
Top Bottom