International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vikosi vya Yemen vimefyatua kombora la balestiki aina ya Zilzala 2 kuelekea katika maficho ya mamluki wa Saudi Arabia katika wilaya ya Nihm mkoani Sana'a, magharibi mwa nchi na kuua idadi kubwa ya...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Wataalamu wanasema kuwa kitengo cha udukuzi ktk majeshi ya NK ni hatari zaidi kuliko hata mradi wao wa silaha za nyukila. Wanadai kuwa kitengo hicho kina uweledi mkubwa wa kuharibu mipango ya...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Emani trading co. Ltd, Discount freight limited and Fair way Fresh limited are owned by a Kenyan known as Eric thuranira, his number +44 7449 941034. He is based in U.k. We agreed he will ship my...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Korea Kaskazini imetaja vikwazo vya hivi majuzi vya Umoja wa Mataifa dhidi yake ni kama vita na ni sawa na kuifungia kabisa nchi hiyo kiuchumi na imetishia kuwachukulia hatua kali nchi zote...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Korea Kaskazini imetaja vikwazo vya hivi majuzi vya Umoja wa Mataifa dhidi yake ni kama vita. Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni ilisema kuwa hatua hizo zilikuwa ni kubwa na ngumu kwa uchumi kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Obama, Sarkozy, Merkel unable to attend funeral due to air chaos Radek Pietruszka / EPA Dignitaries attend the Requiem Mass for Polish President Lech Kaczynski and his wife, Maria, in St...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
One of the biggest shocks I have ever had since I came to Europe in 2002 was coming across a church-turned-pub in Aberdeen. Seriously, I felt angry and sad, that a ‘house of God’ had been turned...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikifatilia sana kuhusu hawa jamaa wanaojiita waasi wa ADF. Nimeshindwa kupata jibu ni nani anawafadhili kipesa na siraha. Kama Museveni ni adui wao, Rwanda ni adui...
18 Reactions
115 Replies
18K Views
Source: Guardian Russia will join an international investigation to determine whether the first Palestinian president, Yasser Arafat, was murdered, the current Palestinian leader, Mahmoud Abbas...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtu anayeshukiwa kuwa muuza madawa ya kulevya alijipa krismasi asiyoitaka wakati aliingia kwenye teksi akiwa na karibu misokoto 1000 ya bangi na kugundua kuwa alikuwa ameingi kwenye gari la polisi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndege ya Kunlong AG600 ambayo ni ndege kubwa zaidi inayoweza kutua nchi kavu na majini ambayo imebuniwa na kutengeneza nchini China, imefanikiwa kuruka kwa majaribio leo. Ndege hiyo ni kwa ajili...
8 Reactions
31 Replies
8K Views
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny, ameuambia mkutano mmoja mjini Moscow kwa uungwaji mkono mkubwa anaopata kwa sasa kote nchini Urusi unathibitisha kuwa yeye ndiye anafaa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bunge la Seneti la Marekani limepitisha mswada ambao ulidumu kwa kwa zaidi ya miongo mitatu. Bunge la wawakilishi lilipitisha mswada huo mapema leo.Republican wana idadi kubwa ya wabunge nchini...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Sikukuu imeingia dosari huko Afghanistan! Asubuhi hii, mtu mmoja aliyekuwa akitembea kwa miguu amejilipua jirani na zilizo ofisi za usalama wa taifa Katika mji wa Kabul na kuua raia wema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Peru, Alberto Fujimori ameachiwa huru kwa msamaha wa Rais baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka takribani 12 (tangu 2005). Fujimori alifungwa kwa kukutwa na hatia ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa BBC ni kwamba vikosi vya anga vya Uganda kwa kutumia ndege za kivita zimeanza rasmi operesheni dhidi ya kambi za waasi wa ADF NALU zilizopo kaskazini mashariki mwa Congo. Congo...
3 Reactions
79 Replies
11K Views
Saudia yatangaza rasmi mpango wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ametangaza rasmi kuwa utawala huo una mpango wa kuanzisha uhusiano kamili wa...
2 Reactions
115 Replies
13K Views
Vikosi vya kijeshi vya Marekani vikishirikiana na wenzao wa Korea Kusini wamefanya zoezi la kukamata silaha za nyuklia za Korea Kaskazini wakati wa vita. Ktk operesheni hiyo, sehemu ya michezo ya...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Takribani watu 200 wameripotiwa kufariki, na wengine wakiwa hawafahamiki walipo na maelfu ya watu wakiachwa bila makazi baada ya kimbunga kilichopewa jina la Tembin kuikumba sehemu ya Kusini ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By Pascal Ndege | President Emmerson Mnangagwa continues to play the “pro poor” Magufuli radical card, achange from former President Robert Mugabe as he today flew in a low cost scheduled flight...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom