International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa uchukuzi nchini Israel anataka kuchimbwa reli ya chini kwa chini kwenye mji wa zamani wa Jerusalem karibu na Ukuta wa Magharibi na kupewa jina la Donald Trump. Yisrael Katz alisema kuwa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
The Security Council, "Reaffirming its relevant resolutions, including resolutions 242 (1967), 338 (1973),446 (1979), 452 (1979), 465 (1980),476 (1980), 478 (1980), 1397 (2002),1515 (2003)...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa ufupi Duru za habari zimenukuu Waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika, Don Yamamoto akisema Zimbabwe anapaswa kudhibiti uchumi wake na siyo kuendelea kutegemea sarafu ya nje. Washington...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna Wamarekani karibu 250,000 wanaoishi Korea ya Kusini ambao wote watakuwa ktk hatari kubwa (kabla ya wale waliopo nyumbani US) ikiwa vita itazuka. Katibu wa Halmashauri ya Usalama wa Kirusi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeweka Jedwari kuonesha jinsi nchi mbalimbali jinsi zilivosimamia Yale inayoyaamini bila kujali vitisho vya kukatiwa misaada.....Mpaka Tanzania nayo imepiga kura kuipinga marekani lakin...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
HATIMAYE mwanasoka wa zamani wa Liberia, George Weah, ametimiza ndoto yake baada ya jana kuibuka mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia. Weah (51) ameibuka mshindi katika duru ya pili ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watu takribani 40 wameuawa huko nchini Afghanistan kufuatia milipuko miwili ya mabomu ya kujitoa mhanga iliyotokea nchini humo. Nchi ya Afghanistan kwa muda mrefu sasa imekuwa ikikumbana na...
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad. Maafisa wa Libya wamesema kuwa, Myahudi huyo...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
How countries voted on UN Jerusalem resolution
0 Reactions
118 Replies
11K Views
Takribani Watu 40 wameuawa na wengine mamia kujeruhiwa baada ya kutokea kwa mlipuko katika Mji wa Kabul kwenye eneo lenye ofisi za mashirika na taasisi mbalimbali Katika mlipuko huo Wanawake na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Link:Top Houthi officers killed in port city Top Houthi officers killed in port city Ali Mahmood December 27, 2017 Updated: December 27, 2017 08:00 PM The Yemeni army has killed two...
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Huyu ni waziri mkuu wa zamani wa israel Ariel sharon tokea alipozimia mwaka 2006 hadi leo hajazinduka japo mapigo ya moyo bado yanafanya kazi. Ila kwa sasa hali yake ni mbaya sana na uwezo wa...
1 Reactions
150 Replies
19K Views
Misri imewanyonga Wanajeshi 15 walipotakina na hatia ya kuhusika na shambulio dhidi ya vikosi vya kulinda amani huko Sinai. Wanajeshi hao walitekeleza tukio hilo mnamo mwaka 2013. Tukio la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Afisa wa polisi aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Khorfarar kilichopo katika kaunti ya Wajir, amejitoa uhai Jumapili jioni nyumbani kwake katika kijiji cha Kirigi, Kaunti ya Tharaka Nithi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Expansion joint! Baada ya salam ya kikandarasi niende kweny hoja ilonileta.... Mtoto wa aliyekuwa rais wa Libya kwa takriban miaka 42 Bw Saif Al-I slam Gaddafi anatarajiwa kugombea urais wa nchi...
21 Reactions
131 Replies
15K Views
Some Israeli government analysts believe Iran already has at least on nuclear bomb, an Israeli journalist wrote in an article published Frida Shalom Yerushalmi, writing in the national daily...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Hivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!
3 Reactions
87 Replies
13K Views
IRAN: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 4.2 limeikumba nchi hiyo hasa eneo la Kaskazini na kusababisha kifo cha Mtu mmoja na kujeruhi wengine 57. > Tetemeko hilo limetajwa kuwa na kina cha...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Abstract Uchaguzi wa 2013, ulioishia na ZANU-PF kuchaguliwa kwa majority, ulisumbwa na kupingwa kisa reports za vitisho kwa wapinzani. Lakini upinzani ulipoteza nguvu, kutengana, na kufifia kisa...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Back
Top Bottom