marekani yazitisha nchi zitakazoipinga kuhusu jerusalem

marekani yazitisha nchi zitakazoipinga kuhusu jerusalem

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
15,638
Reaction score
20,254
balozi wa marekani katika umoja wa mataifa Nikki Haley amezitishianchi zitakazoiipinga marekani kuhusu mpango wa kuitambua jerusalem kama makao makuu ya israel

amesema atapeleka majina ya wanaoupinga mpango huo kwa trump...

my take:
taifa teule la mungu mbona linatumia vitisho na sio jehova wao awasaidie!!!!
stupid
 
Hivi Marekani ndo Nani??
Weka hata link , ingependeza zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mkuu ukija kwenye mambo ya kiimani huko no hatari sana
 
balozi wa marekani katika umoja wa mataifa Nikki Haley amezitishianchi zitakazoiipinga marekani kuhusu mpango wa kuitambua jerusalem kama makao makuu ya israel

amesema atapeleka majina ya wanaoupinga mpango huo kwa trump...

my take:
taifa teule la mungu mbona linatumia vitisho na sio jehova wao awasaidie!!!!
stupid
Hamna taifa teule bali kuna kunataifa la kihuni
 
wale wazungu walipovamia mwaka 1948 waliwakuta watu,wale waliowakuta ndio wenyewe
Labda unafikiri walipovamia ndiyo wakaanza na kuzaliana kwa mara ya kwanza. Wanaoitwa wavamizi walikua ni wachache sana ukilinganisha na waliokuwa wakiishi pale. Walikuwepo wengi tu wakiishi pale ila serikali ndiyo walikuwa hawana, palikuwepo na serikali ya Palestines huku wao wakitawaliwa. Ila katika mkasa huu kila mmoja huchagua kinacho uburudisha Moyo wake, ndiyo hukisimamia.
 
lazima waambiwe ukweli wa kitakachotokea...............................Mbona TZ wanaokosoa serikali wanaambiwa kitakachotokea na kinatokea
 
President Trump threatened to cut aid from countries that vote against the United States' recognition of Jerusalem as Israel's capital at the UN General Assembly on Thursday. "Countries take hundreds of millions of dollars and sometimes billions of dollars and then vote against us. So we're looking at these votes now. We'll save a lot of money. We don't care," he said at press conference.
 
7c9682e3198a4bc97577355370f5e11a.jpg

Nchi 10 zinazonufaika na Msaada wa US je zitakubari heshima yao na Uhuru wao usipokonnywe kwa misaada au zitainamisha vichwa chini na kukubari matakwa ya US
 
Back
Top Bottom