Iwapo Hamas wanastahiki kupewa tunzo.Kwanini Netanyahu anaizuia.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Kuna tunzo hutolewa kwa wahusika hata kama hawapo.Vile vile zipo na adhabu ambazo hukumu hutolewa kama mhusika yuko mbali.
Kwa upande wa Netanyahu inaonesha amekubali kazi ya kuwafuta Hamas imekuwa ngumu hata kama ana nguvu kubwa kuwashinda wao.Amejaribu kuwaua viongozi wao lakini kila siku anaona mapigano yanaendelea.
Ameuwa watu wengi lakini walio hai hawaonekani kurudi nyuma.Kinyume chake viongozi wa mataifa mengi duniani wameazimia kuitambua Palestina baada ya miaka miwili ya mapambano na Hamas.
Katikati ya vita hivi Netanyahu amekuwa akiwashutumu wale wanaotaka kuitambua Palestina kwamba kufanya hivyo itakuwa ni kuwapa zawadi Hamas kutokana na kazi waliyofanya kuanzia oktoba 7.Ameshagombana na waziri mkuu wa Ausralia,waziri mkuu wa UK,Belgium na wengine wengi.
Lakini kama zawadi hiyo wanastahiki kuipata Hamas kwa kutokubali kukaliwa ardhi yao,kwanini Netanyahu aizuie,na itakuwa ni kwa manufaa ya nani,.
 
Kuitambia Palestina pekee hakusaidii kitu kwa sasa. Badala yake:
1. Wainyime kabisa Israel misaada yote ya kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kiutu.

2. Misaada yote waliyokuwa wanatoa kuisaidia Israel waihamishie kwa Palestina.

3. Waache ku deal na silaha za Iran. I mean waiache Iran ijitengenezee silaha zake za kujilinda kama vile nyuklia, makombora ya masafa marefu, drones nk ili aendelee kuinyoosha sawa sawa Israel na bwana wao Marekani.

4. Wahakikishe Netanyahu akikanyaga nchi yoyote kati ya hizo zinazodai zinataka kuitambua Palestina, anakamatwa, na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu unyama, ukatili na ufedhuli anaoufanya sasa hivi.

Kinyume na hapo, kuitambua Palestina pekee bila ya action hizo nlizoandika hapo juu, itakuwa ni sawa na kumpigia gitaa bata, au kumpigisha mswaki mbuzi. Kamwe Netanyahu hawezi kuacha kuuwa kina mama na watoto ili kuendelea kuficha udhaifu wake wa uongozi.
 
Mapendekezo yako ni mazuri sana na tutayafikisha.
Tatizo hawa wanaotaka kuitambua Palesstina wana kigeu geu na unafiki.Ingekuwa Netanyahu ni wa huku kwetu ingekuwa kambpeni kubwa mpaka wajinga wajinga wa kwetu wangeunga mkono,
Si unaona mataifa ya kiafrika na kiarabu yalivyoshiriki kumuua Gaddafi na Saddam Hussein na jinsi walivyomkandia Omar aLbashiri kwa vigezo vya kimarekani.
 
Kuitambia Palestina pekee hakusaidii kitu kwa sasa. Badala yake:
1. Wainyime kabisa Israel misaada yote ya kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kiutu.

2. Misaada yote waliyokuwa wanatoa kuisaidia Israel waihamishie kwa Palestina.

3. Waache ku deal na silaha za Iran. I mean waiache Iran ijitengenezee silaha zake za kujilinda kama vile nyuklia, makombora ya masafa marefu, drones nk ili aendelee kuinyoosha sawa sawa Israel na bwana wao Marekani.

4. Wahakikishe Netanyahu akikanyaga nchi yoyote kati ya hizo zinazodai zinataka kuitambua Palestina, anakamatwa, na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu unyama, ukatili na ufedhuli anaoufanya sasa hivi.

Kinyume na hapo, kuitambua Palestina pekee bila ya action hizo nlizoandika hapo juu, itakuwa ni sawa na kumpigia gitaa bata, au kumpigisha mswaki mbuzi. Kamwe Netanyahu hawezi kuacha kuuwa kina mama na watoto ili kuendelea kuficha udhaifu wake wa uongozi.

Inadhani mambo ni rahisi kiasi hicho.

Kwanza hizo nchi ulizozitaja, haziyoi msaada wowote kwa Israel, bali zinafanya biashara na Israel, siyo kutoa msaada.

Nchi pekee yenye makubaliano na Israel, kwa Israel kupokea msaada wa bajeti ya kijeshi ni USA tu, na ambao unatokana na Marekani kutambua mchango wa Wayahudi walowezi kwenye uchumi wa USA.

Hayo mataifa ya Ulaya, uchumi wao unakaribiana tu na uchumi wa Israel kwa ukubwa, tena uchumi wa Israel ukiwa more advanced kimuundo.
.
Did you mean: compare Israel economy versus germany.

Germany has a significantly larger economy than Israel in absolute terms, with a much higher total GDP, but Israel boasts a more technologically advanced and innovation-driven economy with a comparable or even higher GDP per capita,
 
Back
Top Bottom