Hivi Trump amekosea nini kuitambua Jerusalem Kama Mji mkuu wa Isarael !!

The Bourne

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
1,077
2,000


Kwa mujibu wa sensa waislamu ni wengi Israel kuliko Wakristo, wayahudi sio Wakristo,
Huu mji Wakristo hauwahusu kabisa,
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,007
2,000
JERUSALEM IMEKUWA MJI WA ISRAEL KWA ZAIDI YA MIAKA 3000.HISTORIA NA VITATU VITAKATATIFU VINALIJUA HILO...."Benjamin Netanyahu"
 

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,269
2,000
Hakukosea chochote kwasababu ni KWELI kuwa Yerusalem ni mji mkuu wa Israel

Si hivyo tu, ila pia ni Mji Mtakatifu.

Kuna kumbafu anayesema alikosea?
Acha kujitoa ufahamu, utakatifu wa Yerusalemu uko wap??? Maandiko unasoma kweli?? Au unashabikia kitu usichofahamu....Nahisi ww utakua Farisayo na sio Mkristo wa kwel.
 

Kesho vp

Member
Dec 3, 2017
22
45
Kuwa mji mtakatifu c kuangalia idadi ya waumini Bali maadiko matakatifu yanavyosema Wayahudi Wakristu na Waislamu Wote ni watoto wa ibrahimu na Wote tunamuheshimu Kama baba wa Imani Imani abayo Mungu aliibariki kuapia sisi wote n watoto was baba Moja Ila at a mm naamini Jerusalem n mji mkuu wa Israel ata ukiwa palstina Luna Ubaya gani wakae chini kukubaliana
 

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
17,879
2,000
Acha kujitoa ufahamu, utakatifu wa Yerusalemu uko wap??? Maandiko unasoma kweli?? Au unashabikia kitu usichofahamu....Nahisi ww utakua Farisayo na sio Mkristo wa kwel.
Habari ya Ukristo na Farisayo umeitoa wapi hapa?

Katika comment yangu umeona neno Ukristo?

Nawewe pia huelewi au hujafika shuleni kama yule jamaa wenu?
 

sapato

Member
Nov 28, 2017
43
125
Trump hana makosa Bali maandiko ya manabii yanatimia kwa wakati wake bahati mbaya trump ndiye yupo wakati maandiko yanakwenda kutimilika anapaswa kuyatimiza hata kama yeye pia hapendi
 

mangelengele

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,295
2,000
Ubaya upo kwani Marekani hiyo hiyo kipindi cha Obama ilibariki makao makuu ya kuwa Tel Aviv na hiyo ilisaidia kuleta amani mashariki ya kati, sasa Marekani hiyo hiyo, sio inatambua, bali inataka kuhamisha mji mkuu kutoka Tel aviv kwenda Jerusalem na ujenzi uanze mara moja. Haya ya US na Israel yana mwisho wake maana hakunaga ushirika kati ya giza na nuru.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom