MISRI: Wanajeshi 15 wanyongwa kwa hatia ya kuhusika na shambulio dhidi ya vikosi vya usalama huko Sinai(2013)

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Misri imewanyonga Wanajeshi 15 walipotakina na hatia ya kuhusika na shambulio dhidi ya vikosi vya kulinda amani huko Sinai.

Wanajeshi hao walitekeleza tukio hilo mnamo mwaka 2013. Tukio la kunyongwa kwao limetekelezwa katika Magereza mawili nchini humo.


=======
Egypt has hanged 15 militants who were convicted of carrying out attacks on security forces in the Sinai Peninsula in 2013, authorities say.

The executions were carried out on Tuesday at two prisons in the north of the country, where the men were held.

They were convicted of killing soldiers, carrying out assassinations, and destroying military vehicles.

It was the first mass execution in the country since six jihadists were hanged in 2015.

Sinai has in recent years been beset by an insurgency, with jihadist groups including so-called Islamic State (IS) attacking targets including army, police and judges.

Last week, IS blew up a grounded helicopter with an anti-tank missile at a North Sinai airport, killing an army officer and wounding two others.

And in November, suspected IS militants carried out a devastating bomb and gun attack on a mosque in North Sinai that killed more than 250 people.

In the wake of that attack, President Abdul Fattah al-Sisi gave the military a three-month deadline to quell the unrest in Sinai, instructing it to use "brute force".

- BBC Africa
 
Hiyo ndio lugha wanayoilewa waarabu. Wanapenda sana kunyongana hawa jamaa.
 
Umeelewa vema "MILITANTS"? Maana ukisema ni wanajeshi, it sound like "Wanajeshi wa kikosi cha jeshi la Nchi".
Militants ni "mgambo" ama waasi. Wanaweza kuwa wanajeshi,lakini si jeshi la Nchi.
So hao walionyongwa ni Waasi,kama uonavyo ISIS.
 
Back
Top Bottom