PAPAKINYI - SJUT 2013
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 367
- 251
habarini wadau!! kheri ya mwaka mpya!!!
ninachokisikia ni kuwa waziri wa mambo ya ndani wa donald trump anaitwa john kerry (sina hakika km linaandikwa hivyo). ninachokikumbuka ni kuwa waziri wa mambo ya nje wa obama alikuwa na jina kama hilo....swali langu kwa wajuzi ni je, mtu huyu ni yule yule au mwingine?