Nimesoma hiyo taarifa. Ni vituko.
Mke ametoka kufanyiwa upasuaji miwzi 2 iliyopita baada ya kujifungua.
Mke ana miaka 24 na ni mwalimu wa shule ya msingi.
Mume wake ana miaka 25 na ana wake 3.
Mke amekua akitaka mambo jamaa anazingua, mke akaapa kwa rafiki zake kua jamaa akikataa tena atamuumiza.
Kweli jamaa aliporudi mke akataka apigwe paipu, jamaa akakataa, mke akampiga kabali hadi kifo.
Mbona wengine hatupati wanawake kama hao, muda wote anataka apigwe miti.
Hawa tulionao goli moja tu amechoka, ukilazimisha la pili unapewa ila kwa mbinde sana na hapo hadi wiki ipite ndio upewe tena.