luziiii
Member
- Jan 14, 2018
- 43
- 49
Viongonzi wetu wanapenda ishara yamikono nani anawafundisha ishara zanamna hiyo.
Anaeweza atujuze nini maana yakufanya hivyo.
Je jirani yetu anamaanisha nini ?
Mwingine nikatibu wachama furani hawezi kuongea bila kurusha mikono pamoja namwenyekiti wake, kunasili gani hopo