Bad theory: Tutsi zaeni watoto wengi kulinda kizazi kinachopotea

Prof

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,577
2,452
Hii ni just bad theory, kumekuwepo na theory nyingi juu ya origin ya Tutsi ethnic na wengine huja na hypothesis zilizovuka mipaka. kuna wengine wanasema origin ni Ethiopia or Somalia...whatever, sitaki kujikita kwenye Historia kwani maandiko yanasema, we're all human being before race and ethnic. (Genesis 1:27) or Mwanzo 1:27)

Issue ya Msingi.
kabla na baada ya uhuru wa Rwanda na Burundi, watutsi waliishi kwa taabu (Either wakiishi uhamishoni kama Immigrants or being refugees) off course na wahutu wapo pia wa namna hiyo. Hata hivyo kuanzia mapinduzi ya mwaka 1959 nchini Rwanda mpaka genocide ya 1994 jamii ya watutsi ilikuwa ndo inalengwa zaidi na naweza kusema walikuwa most vulnerable zaidi ukilinganisha na jamii/ethnic zingine...

Population: kwa mujibu wa takwimu za 2016, Rwanda ina idadi ya watu 12,141,508 ambapo Tutsi ni asilimia 15% ukilinganisha na wahutu 84% na watwa 1%. sina records halisia ya Tutsi-generation in diaspora, but i guess namba ni ndogo pia. kwa jinsi dunia inavyokwenda na dhuluma inavyoshamili, ni vigumu kwa watu wachache hawa kujitetea dhidi ya ukandamizaji.....

Sumary: Watutsi=1,821,226.2
Hutu==10,198,866.72
watwa==121415.08
Tofasiri: kwa kila takribani ya watu 6 waliposimama, huenda mtu kutoka jamii ya kitutsi akawa 1 pekee. Hii siyo ratio nzuri na ina rise alarm kwa ustawi wa jamii hii.

Child Birthrate (CBR) kwa kuwa ukabila ni jambo baya na hupingwa na jamii zote zilizostarabika kote ulimwenguni, siyo jambo jema tena ku records number of Birth based on ethnicity. Ingawa wajuzi wanasema kuwa naumba ya watoto wa jamii hii ni ndogo with average of 3 kids per family in Urban areas na vijijini ni average ya 4-5 kids per family.... (mwenye Data kamili anaweza kutuwekea hapa..)

My advice: Amkeni wandugu, huenda kesho kagame asiwe madarakani na akaja mtu mwingine mwenye kupendelea upande mmoja or mwenye kuamua majority vote ndo iwe final and conclusive. kwa uchache wenu, mtalia kilio cha samaki...... Igeni watu wa middle east, wao wakija 10 in 3 years unakuta kuna watu 300 na wazungu wanabaki kujiuliza hawa wametoka wapi (just kidding)....
 
Ndugu Prof nani amekwambia Watutsi wapo tu Rwanda?
Maana umetoa Takwimu za Rwanda kana kwamba Watutsi wapo Rwanda pekee.

Vipi kuhusu Watutsi walio;
(1) Burundi ?
(2) Congo DRC ?
(3) Tanzania (Kagera, Kigoma, Mwanza na Tabora)
(4) Uganda?
Unaijua idadi yao kwenye hizo nchi hadi kufikia hitimisho lako kusema KIZAZI KINAPOTEA?

Halafu tuachane na imani kwamba kuna mtu yuko sehemu anataka kukifutilia mbali kizazi cha Watutsi na kwamba Kagame pekee ndiye anaweza kuwalinda. Pia umesahau kuangalia upande wa pili wa shilingi ambapo Watutsi nao waliwahi kuwaua sana Wahutu wengi nchini Burundi. Lakini wewe unavyotaka kutuaminisha ni kwamba kuna Mtu anataka kuwakatilia mbali Watutsi; na wao pekee ndiyo Wahanga Wakuu wa Ukabila katika nchi za Rwanda na Burundi. (Hili Halina Ukweli wowote)

Kukuweka sawa zaidi,
Kabla ya Uhuru Wahutu na Watutsi kwa pamoja waliishi kwa shida chini ya Utawala wa Mjerumani na Mbelgiji: Hawa ndiyo waliwagawanya kwa manufaa yao ya Ukoloni na kutusababishia matatizo yaliyopo leo kwenye huu Ukanda. Lakini wewe umesema kwamba kabla ya Uhuru Watutsi peke yao ndiyo waliishi kwa shida. (Hali nalo halina Ukweli wowote)

NB: Kagame ni Kiongozi mzuri sana lakini Rwanda ni Kubwa sana kuliko yeye. Awepo au Asiwepo nchi itaendelea tu (Huenda Vizuri zaidi ya Ilivyo sasa). Tembea nchini Rwanda uone jinsi Watutsi na Wahutu wanavyochukia vita kwa kifupi hakuna anayetaka matukio ya mwaka 1973 na 1994 yajirudie.
 
Wafyatue tuu ..
wao wenyewe wana ogopa kuzaa uki fika rwanda uta ona hali halisi ya maisha wana maisha magumu sana aliye nacho ata vakia kuwa nacho na ambae hana labda aibe,wenye maisha mazuri rwanda ni wale ambao ndugu zao wapo ughaibuni,wafanyakazi wa ngazi za juu serikalini na kwenye taasisi za watu binafsi ila wengi wao maisha yao ni ya kuunga unga tu
 
Ndugu Prof nani amekwambia Watutsi wapo tu Rwanda?
Maana umetoa Takwimu za Rwanda kana kwamba Watutsi wapo Rwanda pekee.

Vipi kuhusu Watutsi walio;
(1) Burundi ?
(2) Congo DRC ?
(3) Tanzania (Kagera, Kigoma, Mwanz na Tabora)
(4) Uganda?
Unaijua idadi yao kwenye hizo nchi hadi kufikia hitimisho lako kusema KIZAZI KINAPOTEA?

Halafu tuachane na imani kwamba kuna mtu yuko sehemu anataka kukifutilia mbali kizazi cha Watutsi na kwamba Kagame pekee ndiye anaweza kuwalinda. Pia umesahau kuangalia upande wa pili wa shilingi ambapo Watutsi nao waliwahi kuwaua sana Wahutu wengi nchini Burundi.

Kukuweka sawa zaidi,
Kabla ya Uhuru Wahutu na Watutsi kwa pamoja waliishi kwa shida chini ya Utawala wa Mjerumani na Mbelgiji: Hawa ndiyo waliwagawanya kwa manufaa yao ya Ukoloni na kutusababishia matatizo yaliyopo leo kwenye huu Ukanda.

NB: Kagame ni Kiongozi mzuri sana lakini Rwanda ni kubwa sana kuliko yeye. Awepo au Asiwepo nchi itaendelea tu. Nenda Rwanda uone jinsi Watutsi na Wahutu wanavyochukia vita kwa kifupi hakuna anayetaka matukio ya mwaka 1973 na 1994 yajirudie.

Mkuu MALCOM LUMUMBA, kwanza nikushukuru kwa insight yako kuhusu ndugu zetu hawa. Ila ukipitia vizuri nilisema sijui idadi ya watutsi walioko diaspora. Records zinaonyesha tulikuwa na wanyarwanda 7000 hapo ni mwaka 2008 na statistics hizi nilipewa na Msaidizi wa ubalozi wa Rwanda Nchini Tanzania. though ni ngumu kusema kwenye hizo takwimu nani alikuwa kabila hili ama lile kwani haitosaidia sana...

Kuhusu Burundi, nayo ina jamii ya watutsi na wengine wana asili ya Rwanda na wengine wakiwa natives wa hapohapo Burundi...PLUS Congo DRC na Tanzania. Ila kwa namna moja ama nyingine, dhana ya Uraia na ethnicity vinabaki kwenye nchi ambayo Raia husika ameandikishwa. kwa mfano, Ukienda Manyovu kigoma kuna jamii ya watutsi na wanajitambulisha hivyo ingawa ni watanzania linapokuja suala la uraia..

Rwanda is bigger than Kagame...you're Right! siku zote machafuko huanzishwa na wanasiasa na wanasiasa haohao ndo wanaweza kuivusha nchi kutoka point A to point B. My take is, hatujui atakayekuja baada ya kagame. kagame ameitendea mema nchi ya Rwanda kwa kurudisha Amani but huwezi jua binadamu anawaza nini! wengine huhubiri Amani huku wameficha mapanga. Kesho anaweza kuja mwanasiasa mbovu kuwahi tokea na akaanza kuhubiri maovu.....

What if kama jamii ya watutsi ikiamua kuzaana ili kuongeza idadi zaidi? unahisi kuna negative impact ya kufanya hivyo socially? if any, what do you think?
 
mkuu ni kweli unacho kisema (wana tangaza amani huku wame ficha mapanga) uki enda rwanda kazi nzuri wanazo watusi elimu nzuri wana pata watusi majeshi yote wame jaa watusi maafisa wengi wa jeshi ni watusi ndio mana kagame hapati usi ngizi kwa upande wa mashariki mwa kongo kwani huko wahutu ni wengi na mda wowote wame apa wata ludi rwanda kuchukua nchi yao sasa kwa mantiki hii kabila aki ondoka congo chochote kina weza kutokea
 
unachosema ni kweli kabisa. nafikiri ni muda mwafaka sasa kwa watawala wa Kigali/Rwanda kutafuta suluhu ya kudumu. Dunia isingependa kuona ya mwaka 1994 yakitokea lakini pia hatuwezi kupuuza threat ya wahutu waliokimbilia DRC-Congo. meza ya Mazungumzo ni muhimu ili hata vizazi vijavyo vipate pa kuanzia. Kwa nionavyo mimi, President kagame ndo kila kitu kwenye amani iliyopo Rwanda na akiondoka, kuna wavamizi wanaweza kuvamia na kusababisha vita. Sometimes comments kama hizi zinaweza kuonekana nuisance kwa upande usikubaliana na hoja hii....lakini siku zote panapofuka moshi kuna moto. kinga ni bora kuliko tiba...
 
kagame kwa upande wa tz hana wasi wasi napo kwa sababu jpm ni jamaa yake sio kipindi cha mkwere alikuwa hana amani kabisa kuna muhutu mmoja nilionaga ana ojiwa na citizen ya kenya ana ishi huko ali apa kwamba hata ludi rwanda mpaka watusi watoke madarakani pia hawa watu mpango wao ni kuteka nchi za maziwa makuu
 
Mkuu MALCOM LUMUMBA, kwanza nikushukuru kwa insight yako kuhusu ndugu zetu hawa. Ila ukipitia vizuri nilisema sijui idadi ya watutsi walioko diaspora. Records zinaonyesha tulikuwa na wanyarwanda 7000 hapo ni mwaka 2008 na statistics hizi nilipewa na Msaidizi wa ubalozi wa Rwanda Nchini Tanzania. though ni ngumu kusema kwenye hizo takwimu nani alikuwa kabila hili ama lile kwani haitosaidia sana...

Mkuu Prof labda sikukuelewa hapo awali: Naomba uniwie radhi kwa hilo.
Lakini kwa mtazo wangu mimi, Watutsi kiasili ni Wafugaji (Pastoralists) hivyo wanatabia ya kuhama sana. Hivyo basi mimi sioni vyema sana kuwaita
Watutsi waliopo Ukanda wa Maziwa Makuu kama Diaspora wakati hapa ni kwao. (This is so far A Pan-African perspective)

Mathalani kuna Watutsi wengi waliondoka Rwanda-Urundi ;
(1) Kabla ya Ukoloni,
(2) Kipindi cha Ukoloni,
(3) Baada ya Ukoloni, na
(4) Hata sasa wanaendelea kuhama.

What if kama jamii ya watutsi ikiamua kuzaana ili kuongeza idadi zaidi? unahisi kuna negative impact ya kufanya hivyo socially? if any, what do you think?

Kuzaliana siyo dhambi hata kidogo: Procreation ni sifa kuu ya Viumbe hai wote. (Kijamii liko sawia)
Mpaka sasa Watutsi wanazaliana kama zilivyo jamii nyingine. Japo katika swali lako ni lazima tuachane na nadharia za Kijamii na tuangalea Uhalisia wa mambo ulivyo nchini Rwanda hasahasa katika nyanja ya Kiuchumi kama ifuatavyo:

(1) Rwanda ina Ukubwa wa Kilomita za Mraba 26,338 hivyo kulinganisha na Tanzania yenye Kilomita za Mraba 947,300: Rwanda inakuwa ndogo karibia mara 36. Mpaka sasa nchi ya Rwanda imekumbwa na tatizo la Uhaba wa Ardhi hivyo wakizaliana zaidi ya ilivyo sasa sijui wataishi wapi?

Nchini Tanzania Takwimu za haraka zinasema mpaka mwaka 2013 katika kila Kilomita moja ya Mraba wanakaa watu 5 wenye familia kubwa, wakati nchini Zanzibar ambako hakujapishana sana na Rwanda katika kila Kilomita Moja ya Mraba hukaa watu 18 wenye familia kubwa na Rwanda mpaka kufika mwaka 1991 walikuwa ni watu 271 katika Kilomita Moja ya Mraba. Hebu pima mwenyewe halafu uangalie kama litakuwa jambo zuri kwa Watutsi kuzaliana kwa kipindi hiki.

Hivyo basi Mtanzania ana nafasi kubwa ya kufanya Kilimo na shughuli nyingine za Kijamii kuliko Rwanda kutokana na uwepo Mkubwa wa rasilimali Ardhi. Rwanda mpaka sasa ndiyo nchi yenye Msongamano (Population Density) mkubwa barani Afrika hasa ukiangalia katika nyanja ya Uhaba wa Rasilimali zilizomo kulinganisha na idadi ya raia. Hivyo hilo siyo jambo jema sana.

(2) Rwanda ina Uhaba mkubwa Rasilimali ukilinganisha na watu. Pengine ndugu yangu Vita na Ugomvi wa Rwanda kwa muda mrefu tumeuangalia katika nyanja ya kijamii na Kisiasa sana na tumetelekeza nyanja ya Kiuchumi. Moja ya tatizo ambalo haliongelewi na Wanasiasa na Wanahistoria hapa Barani Afrika ni kwamba Ugomvi wa Watutsi na Wahutu ulichochewa na Uhaba wa Rasilimali hasahasa Ardhi.

Leo hii hali ilivyo ikitokea wanazaliana zaidi ni lazima kutakuwa na migogoro mikubwa ya Ardhi; na kwasababu nchi ina Wahutu na Watutsi wengi basi huu ugomvi ni lazima utafanywa wa kikabila kumbe ni Maslahi ya kiuchumi tu. Mwishowe Rwanda itatonesha Vidonda ambavyo vimeanza kupona sasa. Hebu fikiri tu, Tanzania yenye Ardhi kubwa ina Migogoro Mikubwa na ya muda mrefu baina ya Wafugaji na Wakulima hasahasa kipindi hiki ambacho watu wanazaliana sana. Je, unahisi Rwanda ukilinganisha na udogo wake na rasilimali zilizopo kutakuwa na Amani Kweli?

(3) Niatendelea ndugu Prof............
 
Moja ya tatizo ambalo haliongelewi na Wanasiasa na Wanahistoria hapa Barani Afrika ni kwamba Ugomvi wa Watutsi na Wahutu ulichochewa na Uhaba wa Rasilimali hasahasa Ard
Mkuu nakubaliana na wewe though uhaba wa rasilimali ni secondary factor. Labda tuangalie chanzo kikuu cha vita na genocide kuanzia mwaka 1959, 1974 but before 1994. Mnamo Tarehe 1 July 1950 Rwanda ilikuwa na watu 2,186, 187 kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa. Mnamo mwaka 1960, idadi ya watu ilikuwa 2.933 million na ukiangalia kwa mapana, population ilikuwa inaongezeka kama 0.9% for one decade. hii inamaanisha idadi ya watu ilikuwa inaongezeka kwa rate ndogo sana. (May be kwa sababu ya Ukoloni)...! Mnamo mwaka 1994, idadi ya watu ilifikia 5.728 million ambalo ni ongezeko la watu million karibia 3 kwa kipindi cha miaka 34.....and twenty years later (2014) Rwanda ina watu million 12 ambapo ni ongezeko la watu million 7 kwa kipindi cha miaka 20 tu ambapo ni ongezeko kubwa kuliko kipindi kingine chochote....

Primary Factors: chanzo kikuu cha machafuko na migogoro ni chimbuko/historia ya wabelgiji na wafaransa kutengeneza classes. wengine wakihisi wanaonewa na kuanzisha machafuko na uhasama wa huyu dhidi ya yule. Personally, namlaumu mfaransa coz ndo aliwalisha sumu baadhi ya viongozi wa wakati huo na wakaanza kueneza chuki dhidi watutsi. yaliyotokea yakatokea. kinachoshangaza, Rwanda haijachukua hatua kuhakikisha yaliyotokea hayatokei. sijaona National reconciliation programmes ukitoamo Gacaca courts, sijaona forgiveness campaign within and beyond Rwanda, sijaona....sijaona...
 
Mkuu Prof ngoja nimalize kazi za watu halafu ntakuja kukupa mtazamo wangu katika hili.
 
Mkuu Prof labda sikukuelewa hapo awali: Naomba uniwie radhi kwa hilo.
Lakini kwa mtazo wangu mimi, Watutsi kiasili ni Wafugaji (Pastoralists) hivyo wanatabia ya kuhama sana. Hivyo basi mimi sioni vyema sana kuwaita
Watutsi waliopo Ukanda wa Maziwa Makuu kama Diaspora wakati hapa ni kwao. (This is so far A Pan-African perspective)

Mathalani kuna Watutsi wengi waliondoka Rwanda-Urundi ;
(1) Kabla ya Ukoloni,
(2) Kipindi cha Ukoloni,
(3) Baada ya Ukoloni, na
(4) Hata sasa wanaendelea kuhama.

Kuzaliana siyo dhambi hata kidogo: Procreation ni sifa kuu ya Viumbe hai wote. (Kijamii liko sawia)
Mpaka sasa Watutsi wanazaliana kama zilivyo jamii nyingine. Japo katika swali lako ni lazima tuachane na nadharia za Kijamii na tuangalea Uhalisia wa mambo ulivyo nchini Rwanda hasahasa katika nyanja ya Kiuchumi kama ifuatavyo:

(1) Rwanda ina Ukubwa wa Kilomita za Mraba 26,338 hivyo kulinganisha na Tanzania yenye Kilomita za Mraba 947,300: Rwanda inakuwa ndogo karibia mara 36. Mpaka sasa nchi ya Rwanda imekumbwa na tatizo la Uhaba wa Ardhi hivyo wakizaliana zaidi ya ilivyo sasa sijui wataishi wapi?

Nchini Tanzania Takwimu za haraka zinasema mpaka mwaka 2013 katika kila Kilomita moja ya Mraba wanakaa watu 5 wenye familia kubwa, wakati nchini Zanzibar ambako hakujapishana sana na Rwanda katika kila Kilomita Moja ya Mraba hukaa watu 18 wenye familia kubwa na Rwanda mpaka kufika mwaka 1991 walikuwa ni watu 271 katika Kilomita Moja ya Mraba. Hebu pima mwenyewe halafu uangalie kama litakuwa jambo zuri kwa Watutsi kuzaliana kwa kipindi hiki.

Hivyo basi Mtanzania ana nafasi kubwa ya kufanya Kilimo na shughuli nyingine za Kijamii kuliko Rwanda kutokana na uwepo Mkubwa wa rasilimali Ardhi. Rwanda mpaka sasa ndiyo nchi yenye Msongamano (Population Density) mkubwa barani Afrika hasa ukiangalia katika nyanja ya Uhaba wa Rasilimali zilizomo kulinganisha na idadi ya raia. Hivyo hilo siyo jambo jema sana.

(2) Rwanda ina Uhaba mkubwa Rasilimali ukilinganisha na watu. Pengine ndugu yangu Vita na Ugomvi wa Rwanda kwa muda mrefu tumeuangalia katika nyanja ya kijamii na Kisiasa sana na tumetelekeza nyanja ya Kiuchumi. Moja ya tatizo ambalo haliongelewi na Wanasiasa na Wanahistoria hapa Barani Afrika ni kwamba Ugomvi wa Watutsi na Wahutu ulichochewa na Uhaba wa Rasilimali hasahasa Ardhi.

Leo hii hali ilivyo ikitokea wanazaliana zaidi ni lazima kutakuwa na migogoro mikubwa ya Ardhi; na kwasababu nchi ina Wahutu na Watutsi wengi basi huu ugomvi ni lazima utafanywa wa kikabila kumbe ni Maslahi ya kiuchumi tu. Mwishowe Rwanda itatonesha Vidonda ambavyo vimeanza kupona sasa. Hebu fikiri tu, Tanzania yenye Ardhi kubwa ina Migogoro Mikubwa na ya muda mrefu baina ya Wafugaji na Wakulima hasahasa kipindi hiki ambacho watu wanazaliana sana. Je, unahisi Rwanda ukilinganisha na udogo wake na rasilimali zilizopo kutakuwa na Amani Kweli?

(3) Niatendelea ndugu Prof............
kweli mkuu uki fika rwanda kila familia wana luhusiwa kumiliki ng'ombe wawili tu hakuna raia mwenye idadi inayo zidi hapo ndomana mapori ya kuanzia nyakanazi,nyakaula,ngara mpaka benako mapori yote wame vamia wanya ruanda wana fuga ng'ombe zao hii ime pelekea dumu la lita 5 la maziwa wanauza kuanzia elfu 2 mpaka elfu 2500
 
ukianzia boda pale rusumo mpaka mji mkuu wa kigali pana km152 tu na ukitoka hapo kigali mpaka mji wa goma nchini congo pana km 150 kwa mantiki hii nchi ya kigali ina km302 tu kuimaliza hii ni sawa na mwendo wa dar to moro km 198 fanya kwenda na kuludi ndio distance nzima ya nchi ya rwanda
Hii ndo sayansi ninayoipenda mini,,,umesimplify work
 
Back
Top Bottom