Mwanamke mmoja nchini Burundi ambaye alikuwa ni miongoni mwa wanawake wa kwanza kujiunga na makundi ya waasi mwishoni mwa miaka ya 90, kwa sasa amejiingiza katika shughuli za kuwalea watoto...
Iran: Jibu letu kwa Israel litaisambaratisha Tel Aviv kikamilifu
Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu ya Iran, ameonya kuwa, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni utageuzwa...
Wote tunajua kinachoendelea huko Congo DRC kanisa limeamua kuingilia kati siasa za nchi hiyo
Swali linalokuja kichwani ni kwamba Kanisa Katoliki Congo DRC litafanikiwa kumtoa madarakani bwana...
Mwanadada huyo alizua gumzo baada ya kusambaa picha kwenye mitandao ya jamii iliyomwonyesha akiwa kando ya Tsvangirai aliyekuwa amedhoofu kwa maradhi kitandani hospitalini. Ncube alishambuliwa na...
Donald Trump’s top Diplomat Rex Tillerson.
In the March 6-13 visit, Tillerson is expected to discuss investment and trade, terrorism, good governance and peace and security with the officials of...
Shirika la Ujasusi la New Zealand (SIS) limethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na jaribio la kumuua Malikia Elizabeth II wakati alipotembelea jiji la Kusini la Dunedin mwaka 1981...
Tarehe 16 January 2017 Mahakama Kuu nchini Bangladesh ilitoa hukumu kwa maafisa ujasusi 26 wa nchi hiyo kunyongwa mpaka kufa,. Adhabu hiyo kwa wafanyakazi 26 wa usalama wa taifa nchini Bangladesh...
Watu 14 wamefariki nchini Congo DRC na wengine zaidi ya 400 hawajaonekana walipo baada ya Boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Mto Congo.
====
Boats sink on River Congo, 14 feared drowned...
Nimecheck video hapa chini. Nimegundua USA anambwembwe nyingi sana. Kwa upande wa majini N. Korea iko njema sana. Vile vile kwa upande wa nchi kavu N. Korea wapo vizuri kinoma. Nina shawishika...
Katika historia ya Kanisa Katoliki duniani ni mwiko kwa Padri kuoa, lakini hii iko tofauti kwa Fr. Patrick Henry Edet, ambaye yeye ametangaza kufunga ndoa baada ya mwili wake kuzidiwa nguvu ya...
Tehran(Irani) wamesema malalamiko ya Tel Aviv(Israeli) kuhusu Unmanned Aerial Vehicle(UAV)/Drone ya Irani kuangushwa na ndege ya Taifa la Israeli ni jambo ambalo ni upuuzi(illogical). Kamanda wa...
Shinikizo hilo la kutaka rais awe akiongoza kwa vipindi viwili vya miaka saba badala ya miaka mitano limepingwa na viongozi wa upinzani ambao wamesema ni njama ya Yoweri Museveni kuongoza hadi...
Ni suala la masaa tu kabla rais wa tatu mweusi hajaondoshwa madarani.. Harakati hizo zinaongozwa na kikundi chenye nguvu cha vijana kutoka NGO ya Mandela foundation
Afrika kusini imepoteza mvuto...
Mahakama kuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imemuhukumu kifungo cha maisha askari polisi aliyewafyatulia risasi waandamanaji wanaompinga rais wa nchi hiyo Joseph Kabila.
Waandamanaji...
Na wasiwasi kama wakongo wa tafaidika na hatua hii ya Apple company kununua cobalt ..kama kuna nchi imeweka kambi na kuua askari ndani ya mipaka ya DRC ...hili deal halitakuwa salama.
10:04 GMT
Putin hails Russia’s record-high agriculture production this year and says the country needs to capitalize on this achievement by wining new foreign markets and developing food industry...
Waziri anasema Israeli ilizionya nchi 30 kuhusu matukio ya kigaidi yaliyotokea mwaka 2017 Lakini mwenzake mkuu wa baraza la mawaziri anasema Waziri huyo wa uchumi Eli Cohen hajui anachozungumzia...
Chama cha Kikomunisti cha Nchini China chapendekeza kuondolewa kwa ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani. Pendekezo hilo litamfanya Rais wa sasa cha taifa hilo kusalia madarakani baada ya mwaka...
Wanawake wajawazito nchini Ghana wameonywa kuacha mara moja tabia ya kunywa vidonge kwa lengo la kuwachubua Watoto
Mamlaka ya Chakula na Dawa(FDA) imesema kuwa unywaji wa madawa hayo haramu...
Mkurugenzi wa mawasiliano na mmoja wa mashauri wa karibu wa Rais Trump wa muda mrefu ameachia ngazi yake,mamlaka imesema.
Mwanamke huyo wa miaka 29 aliyekuwa mwana mitindo na mfanyakazi wa...