Kwa utajiri huu DRC watapona lini

zyogo

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
377
282
Na wasiwasi kama wakongo wa tafaidika na hatua hii ya Apple company kununua cobalt ..kama kuna nchi imeweka kambi na kuua askari ndani ya mipaka ya DRC ...hili deal halitakuwa salama.
 
Attachments

  • apple_said_to_be_in_talks_with_miners_to_secure_co.pdf
    411.3 KB · Views: 39
Siku Mzungu Akisema Sasa Yatosha Mauaji Congo Amani Itarejea Kama Angola Tu Walipoona Wamechuma Vya Kutosha Wakamgeuka Savimbi Mchezo Ukaisha Kuna Makala Moja Iliwahi Kutolewa Na Dw Yenye Kichwa JE CONGO IMELAANIWA NA UTAJIRI WAKE? hapa unaweza kumlaumu kabila ila ukweli wanaujua USA FRANCE BELGIUM UK RUSSIA GERMANY CHINA wakisaidiwa na vibaka wao kagame na museveni kukwapua mali za wakongo na wao wasivyojitambua ni wenyewe kwa wenyewe wanapopoana huku mchawi mkuu wakiwa nae ndani kwa mgongo wa UN eti walinda amani poleni wakongo EZALI LIKOLO MOKO NZAMBE ASALISA BISO BANA BA CONGO
 
ukweli mtupu
 
Kuna Documentary ya RT niliangalia kiukweli matatizo makubwa ya Congo ni kwa maslahi ya Mataifa makubwa. Ile nchi Ina kila aina ya madini lakini wanaofaidika ni Mataifa kutoka nje kwa kutumia vibaraka wao ndani ya Africa Kama akina Kagame na Museven,Ila siku Africa ikijielewa tukawa kitu kimoja bhasi Congo itatulia japo sioni kama itakua leo au Kesho.
 
Back
Top Bottom