Sri Lank imezima mitandao ya kijamiiya Facebook na Whatsapp kufuatili vurugu za kidini kuendelea licha ya kutangazwa kwa hali ya hatari. Mitandao hiyo imepangwa kufungwa kwa muda wa siku tatu...
Manowari ya Marekani iliyozamishwa mwaka 1942 yagunduliwa USS Lexington ilizamishwa wakati wa vita vya Coral Sea
Mabaki ya manowari ya Marekani ambayo ilizamishwa wakati wa vita vya pili vya...
By: Aloyce Mkwizu.
Most educated people in Africa are poor. Not just poor, but very Poor. Why?
Because 80% of the educated people in Africa earn less than 500 Usd for a salary before tax and...
Mpaka najitambua sasa sioni umuhimu ama kazi ya haya mashirika MI6, CIA, FBI hadi UN, WB, zaidi ya kusema ni genge la wahuni waliokaa kuangalia nani tumfanyaje kwa sasa na nani tumfanyie nini...
Waendesha mashtaka wanaochambua tuhuma zinazomkabili rais wa zamani wa Jacob Zuma kuona uwezekano wa kuepuka kufikishwa mahakamani wamependekeza kuwa mashtaka yote dhidi yake yarudiwe.
Gazeti la...
Takriban watu saba wameuawa katika vita ambavyo vilizuka baada ya msichana wa dini ya Kikristo kubadili dini na kuwa Muislamu Kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Vita hivyo vilivyozuka katika jimbo...
Ugonjwa wa Listeriosis waua watu 180 Afrika Kusini, Nchi nne za Kusini mwa Afrika zimesimamisha uagizaji wa nyama ya kuku iliyogandishwa kutoka Afrika Kusini.
Kufuatia tahadhari ya shirika la...
Mwanariadha nchini Afrika Kusini nusura akatwe miguu kabisa aliposhambuliwa na kundi la wanaume alipokuwa anafanya mazoezi Jumanne alfajiri.
Polisi wanasema mwanaraidha huyo hakuwafahamu wanaume...
Kuna Habari inayo trend kuhusu madaktari wa Canada kukataa kuongezewa Mshahara. Inadaiwa Madaktari 500 pamoja na wanafunzi wa udaktari 150, wa moja ya jimbo la Canada (Quebec) wamekataa kuongezewa...
Magari yenye thamani ya zaidi US 1.2 million yamehalibiwa na tingatinga huko Manila na miji mingine nchi Ufilipino chini ya usimamizi wa rais wa nchi hiyo, Rodrigo Durtete.
Hii na kutuma ujumbe...
Kwataarifa za ndani ya makanisa yaliyofutwa nikwamba yulemama hasimu wake alikuwa akisalimojawapo ya makanisa yaliyofutwa .
Niwazi P. kagame hajafutia usajili wa makanisa hayo kwasababu tu ya...
SRI LANKA: Serikali imetangaza hali ya hatari katika taifa nchi hiyo na kutangaza kuchukua hatua za dharula wa makundi ya watu wanaoleta fujo katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Tangu siku ya...
Habari hii imesongwa na muda lakini wacha tushirikishane kuna funzo hapo
Hii Ilitokea Mnamo Septemba 27, 2010 wakati Rais Baraka Obama akiwa Mkutanoi na Rais wa Philipine na kujikua Rais huyu...
Serikali ya China imetangaza kuongeza bajeti yake ya kijeshi katika mwaka huu wa 2018.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, bajeti ya kijeshi ya China katika mwaka huu wa 2018 itaongezea kwa asilimia...
Wapiganaji wa kundi la Islamic State IS wamesambaza picha za video zinazodaiwa kuonyesha mauaji ya wanajeshi wane wa Marekani waliouawa nchini Niger mwezi Octoba mwaka mwaka jana.
Hata hivyo...
Rais wa Jamhuri ya watu wa China bwana Xi Jingping.
Chama kikuu cha kikomunisti cha Jamhuri ya watu wa China kinaanza kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka ambao pamoja na mambo mengine utabadili...
Dunia imeshtushwa na picha Hii ya kuhuzunisha ya kijana wa miaka 4,aliekuwa akihama kutoka Syria kwenda Jordan. Maofisa wa UNHCR walikutana nae akitembea peke yake jangwani kutoka Syria akielekea...
Polisi nchini Rwanda imetangaza kuwatia kizuizini wachungaji 6 na viongozi wa makanisa kutoka baadhi ya makanisa yaliyofungwa kwa amri ya serikali ya nchi hiyo.
Wiki iliyopita serikali ya nchi...
Shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto, UNICEF limesema kuwa kuna mafanikio makubwa ya kupungua kwa ndoa za utotoni duniani.
Shirika hilo la Unicef limekadiria kuwa ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.