Iranian commander: We could ‘destroy all US bases in region & create hell for Zionist regime’

Mwakamajoka

Senior Member
Nov 21, 2017
170
149
220a015ab511985dcd29681484e2e3a1.jpg

Tehran(Irani) wamesema malalamiko ya Tel Aviv(Israeli) kuhusu Unmanned Aerial Vehicle(UAV)/Drone ya Irani kuangushwa na ndege ya Taifa la Israeli ni jambo ambalo ni upuuzi(illogical). Kamanda wa Irani emeonya kwamba watairuhusu/kuifungulia JEHANAMU kwenye ngome ya Kizayuni na kuharibu vituo vyote vya kijeshi vya Marekani vilivyopo nchini Israeli.

"Tuhuma kuhusu ndege/Drone ya Irani na kuhusika kwa Irani kuitungua ndege vita ya Kizayuni ni upuuzi", Bahran Qassemi(Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje wa Irani).

Bahran Qassemi amesema maofisa wa Irani nchini Siria wanafanya kazi za kishauri na wanafanya shughuli zao kwa ombi la serikali halali ya Siria na ya kisheria.

"Vitendo korofi vingine vikifanywa na Tel Aviv(Israeli) vitasababisha serious response. Na hiyo ndiyo itakayo kuwa sababu ya Irani kutengeza JEHANAMU ndani ya Taifa hilo la Kizayuni(Israeli)", Brigadier General Hosseini Salami(Mkuu msaidizi wa Iran's Elite Revolutionary Guards Corps).

Qassemi akaendelea kutema cheche kwa kusema Siria ni Taifa, na Serikali yake na Majeshi yake yanahaki ya kuiilinda mipaka ya nchi na kupambana na aina yoyote ya vitendo tukutu/korofi vya kigeni. Mapema siku ya Jumamosi Jeshi la Ulinzi la Israeli(IDF) limesema limeidhibiti UAV/Drone ya Irani ambayo iliruka mpaka wa Siria na kuingia Israeli. Kwa kujibu mapigo Israeli ilifanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo yenye shughuli za Irani nchini Siria.

Jeshi la Israeli badae likasema kwamba ndege vita moja F-16 ilianguka kutokana na mashambulizi makubwa yaliofanywa na Siria. Marubani walifanikiwa kutoka ndani ya ndege na wapo salama. Kwa kujibu mashambulizi ya Siria, Israeli Defense Force (IDF) ikafanaya mashambulizi ya kutosha kwenye maeneo 12 yenye shughuli za Irani nchini Siria, Damascus hawajasita kusema vitendo vya Israeli ni UKOROFI.

Kugusia Sera za Marekani nchini Irani na vikwazo walivyowekewa Jamhuri ya Kiislamu(Irani), Salami amesema Irani inaweza kuharibu vituo vyote vya kijeshi vya Marekani vilivyopo nchini Israeli kwa kufanya mashambulizi kutoka nchini Irani.

Wasiwasi umepamba moto kati ya Israeli na Irani kutokana na tukio la Jumamosi. Jeshi la Israeli limemuonya Siria na Irani kwa kuruga uhuru wake kama Taifa kwa kusema kwamba nchi zote (Irani na Siria ) watalipa ghalama kubwa wakikiuka onyo hili. Israeli Defense Force (IDF) likaweka mkazo kwa kusema Tehran na Damascus wanacheza na MOTO.

We could ‘destroy all US bases in region & create hell for Zionist regime’ – Iranian commander
 
Hawa jamaa kwa maneno ya kwenye khanga ni wazuri sana. Jinga kabisa hawa.
hahahaha ngoja tusubiri mkuu ilo onyo la Iran halijakaa vizuri wamesema neno baya sana jehanam dah !!! Bila shaka mjomba wao Russia kawatuma!! Iran sio wa mchezo mchezo ulinzi wao wa anga ni sawa na wa north korea dah wana nusu mapipa ya north sio watu wa kudharau kabisa !!
 
Kati ya kitu ambacho Iran hawezi kufnaya ni kuua hata mwanajeshi mmoja wa Marekani?.Uwezo anao,Ila ujasiri huo hana.Zingine ni Porojo na propaganda za kijeshi tuu.
 
Sawa north korea ana uwezo huo au hana !?
Nia ya kupigana vita na marekani anayo.Ila uwezo wa kushinda hana.Kinachompa dogo ujasiri kwa kubwabwaja ni Jeographical advantage na backup ya China na Urusi.Otherwise angeshafundshwa adabu siku nyingi.Msikilize huyu Generali wa Russia comment yake kuhusu hii Tension.Sasa unambie kama na yeye amelishwa propaganda za US.
 
Hizi ni propaganda kweli kweli, adui yako lazima umtishe kwanza kabla ya kuingia kwenye pambano na hilo lipo waz ktk kila ushindan uwe wa mizesho au jambo lingine. Kila mmoja atasema ubora wake ni nin ili utishike.
Kwa hali iliyupo kwa kipind za zaid ya miaka kumi sasa Marekan angisha imaliza NK maana wameweka waz juu ya chuki yao kwako na wamisha tena raia kazaa wa marekan.

Kitendo cha kim kuonyesha anatengeneza icbm za kufika us na us akiwa anajua hilo na kukimbilia kuweka vikwazo kila leo jambo ambalo ajawah lifanya kwa maifa mengine dhaifu kama libya na mengine.

Kim akatoa kauli ya waz kuwa sasa amisha pata kombora za kufika sehem yeyote us na yupo tayar kwa vita akichokozwa lakin us wakajibu kwa maneno ya kagha kitu ambacho sio kawaida yake.

Hizo ni propaganda zao kama movie zao awatak kuonekana wameshindwa na wao biashara yao kubwa siraha wataifanyaje na ushawishi wao utakuwaje kama taifa dogo likionekana limeshinda.

Ila technically us amisha shindwa maana kim anaendelea na mipango yake, alijua akiungana na sk akiwa hana kitu us watawaonea sana na hawatakuwa na uhuru kama taifa, wakaweka mipango yao

Kwanza kuwa na siraha za maangamiz kwa majiran zao kama kinga kwao ya kuto vamiwa na us had lengo kuu litimie, hili wamefanikiwa kwa 100%

Pili kurudisha undugu wao kitu ambacho sk alikuwa anakitaka kila leo. Saiz NK ipo huru na inafanya apendavyo na us amekuwa akiweka mikwala tuuu. Mfano kim kamwalika rais wa sk, US akapinga hilo na hata ushirik wa NK ktk winter festival US alipinga ila hakuna alicho weza kukizui zaid viongozi wa pande mbili kuwa jiran zaid.

Mim sijui mwisho wake nin, ila siamin kama US anauwezo wa kuwasumbua tena anajua uwezo wao wakufikiri na kutafuta majibu ya matatizo hasa ya kitechnologia.

Ni sawa tuu linapo kuja swala la russia miaka nenda rudi wanaishia kujisifia tuu ila awez mvamia japo russia uwezo wake wa kiuchum ni mdogo
 
Huyu Ayatollah anakuja kubwabwaja hapa wakati tayari Israel wameharibu mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Iran nchini Syria.Wao wanakazana kuongea Israel wanatenda!
 
Zipi ni propaganda sasa?.Kwani hayo unayoyaita makombora USA hawana?.Kwa akili yako unafikiri NK ana uwezo wa kuanzisha vita ya Nuclear na USA?.Hahaha,you must be crazy Man.Nimeshasema NK anajivunia geographical advantage na backup ya Urusi na China.Kama US angamua kuivamia NK,kuna uwezekano mkubwa China n Urusi wakaingia moja kwa moja kwenye hiyo vita kulinda maslahi yao,kama ilivykuwa 1950s.Sasa hapo ni calculated risks,either kuivamia NK na kuanzasha vota ya 3 au kuacha na kutafuta the other way ya ku deal nao?.Kingine kwenye hiyo vita US hawezi pata madhara makubwa kiasi hicho unachowaza wewe.SK ndo watakaoumia kwa 100%,sababu ndipo itakuwa battle ground.
Kuhusu ushuriki wa NK kwenye Olympic hilo siyo jamboa la ajabu,labda tu hujui kawa NK na SK ni ndugu wa damu.Walichotaka kufanya ni kutumia Olympic games kama njia ya kuzikutanisha familia zao sababu baada ya kugawanyika famlia zilitengana na huwa hawaruhusu kukutana kwa aina yyte ile.Wala usifikiri kuna siku SK watakujakuwaacha wamarekani na kujiunga na NK.Labda hujui geopolitics za pale peninsula ya korea.Kuna ma Players wakubwa sana pale wana influence ule mgogoro.BTW,hawa ma players wanajua kuliko mimi na wewe,tunachofnaya hapa ni kama ku guess tu.
 
Huyu Ayatollah anakuja kubwabwaja hapa wakati tayari Israel wameharibu mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Iran nchini Syria.Wao wanakazana kuongea Israel wanatenda!
Walipiga 12 SAM complex na kuzi destroy completely.Jamaa ku reply walirusha ant aircraft kama 10 kuidungua f-16,pailoti aliweza ku maneuver kuzikwepa ila moja ilipgwe kwenye bawa.Pilot aliicontrol ndege hadi ndani ya ardhi ya Israel na kuanguka..
 
Sasa nyie Iran,kama mmeshambuliwa,na Israel,mbona hamjajibu kwa kiwango kilekile,haya matamko wala hayana mashiko,
Maneno matupu hayavunji mfupa,mnasema ndogo iliyotunguliwa sio yenu,thibitisheni tuone uongo wa Israel,
Mpaka sasa HV,mmeshambulia vituo vingapi vya Israel au USA?,nyie waajemi/shia vipi?
Nyie dawa yenu ndogo tu,tunawapambsnisha na Saudia(suni) tu,mtafyata wenyewe mikia
 
Back
Top Bottom