International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

“Seven hundred churches in Kigali? Are these boreholes that give people water?” asked President Paul Kagame when he heard that more than 700 churches had been closed down by authorities. “I don’t...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
5 star movement party was formed less than 10 years ago. It was predicted to be the single largest party in Italian politics. It is now predicted to win most seats in the senate. Its leader is...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya China kubadilisha katiba na kumruhusu Rais wa nchi hiyo kuwa Rais asiyekuwa na kipindi maalum na kuwa Rais wa maisha Rais Donald Trump ameunga mkono hatua hiyo na kumsifu Rais huyo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya Zimbabwe imeondoa somo la Hesabu katika orodha ya masomo ya msingi wa alama za ufaulu. MTANZANIA ========
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Timu inayoshiriki ligi kuu ya mpira wa miguu nchini Italia, Fiorentina imethibitisha kifo cha nahodha wao Davide Astori Mchezaji huo wenye umri wa miaka 31, ameitwa kuitumikia timu yake ya taifa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Marekani imepuuzia mbali mtiririko wa madai yaliotolewa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ana mkusanyiko wa mkakati wa silaha mpya za nyuklia ambazo zinaweza kupiga eneo lolote duniani. Ikulu...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Austria: Mahakama nchini humo imetoa uamuzi kuwa raia wake wana haki ya kuwatukana viongozi wao na hata kuwaonesha alama za matusi. Uamuzi huo wa kushangaza umetolewa baada ya kiongozi wa chama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
: Avani Chaturvedi (24), ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza nchini humo kuendesha ndege ya kivita akiwa peke yake. Aliweka rekodi hiyo baada ya kurusha ndege aina ya Mig-21 Bison, kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
U.S. Has Been Secretly Watching Russia's Nuclear-Powered Cruise Missiles Crash and Burn
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Theluji imeanza tena kuanguka pamoja na hali ya baridi kali inatarajiwa kulikumba eneo la bara la Ulaya leo Alhamis wakati eneo hilo likikabiliwa na baridi kali na barafu ambayo imezikumba nchi...
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Huko Equatorial Guinea chama kikuu cha upinzani kimefutwa baada ya kuandaa maandamano yalisababisha fujo kubwa kupelekea watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano hayo...
9 Reactions
65 Replies
6K Views
Jana Ijumaa Novemba 17, 2017 Salvatore (Totò) Riina, bosi wa kikwelikweli aliyebatizwa jina la utani la Belva au Beast (Mnyama) alifariki dunia akiwa gerezani. Totò Riina alizaliwa Jumapili ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Takribani watu 49 wameuawa katika mapigano yaliyozuka katika Jimbo la Ituri. Mapigano baina ya Jamii ya Hema na Lendu. Aidha inadaiwa kutakuwa na watu wengi zaidi waliofariki kutokana na baadhi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tajiri mkubwa duniani alikuwa katika mazungumzo ya kuzungumza kuhusu mpango wa kupunguza idadi ya waafrika. Maana kuna matatizo ya idadi ya waafrika wanaoamia nchi za Ulaya kwa ajili ya kupata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Majiji mengi yaruhusiwa kuzuia matumizi ya magari ya dizeli ifikapo mwaka 2025. Mameya kutoka miji minne mikubwa duniani wamesema watapiga marufuku magari na malori yanayotumia mafuta ya Diesel...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya Rwanda imeyafunga makanisa zaidi ya 700 katika mji mkuu wa nchi hiyo Kigali kwa kukosa kutimiza masharti yaliyowekwa ya usafi na usalama. Gazeti la kibinafsi la The New Times linasema...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa chuo kikuu katika Jimbo la Michigan amewaua wazazi wake katika Kampasi ya Chuo na kukimbia. Askari wanaeleza kuwa mtuhumiwa huyo alikutwa na polisi usiku kabla ya tukio na kupelekwa...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
In Dar es Salaam, Tanzania. Credit: Hendri Lombard/World Bank. On 16 February, Akwinlina Akwiline was on her way to university in Dar es Salaam. She was reportedly heading to the National...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakristo wa mji wa Quds wamefurahishwa na hatua ya kufunguliwa upya kanisa kuu la 'Al-Qiyamah' baada ya kufungwa kwa siku kadhaa na utawala haramu wa Israel na kuitaja hatua hiyo kuwa ni katika...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Afisa Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta nchini Kenya ametumwa kwenye likizo ya lazima baada ya mgonjwa ambaye hakufaa kufanyiwa upasuaji wa ubongo kufanyiwa upasuaji huo katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom